Recent content by mlulumi

  1. M

    Mume anakuletea mke mwenza ndoa Kikristo, Ungefanyaje?

    Umeshakiri udhaifu uliofanya kujenga uongo kwa kumlinda mke mwenzio Aendelee kuishi hapo ndani. Uongo ni dhambi itakutafuna tu siku hadi siku. Sijui uliogopa nini wakati taratibu zipo. Hayo sio mapenzi ni ujinga. Sasa ni vyema ukubali kuwajibika na udhaifu wako mwenyewe ulishakubali kufujwa.
  2. M

    Ugonjwa wa Pumu (Bronchial Asthma): Chanzo, dalili na tiba

    Mpigie mtaalam wa Athma 0719703020. Sijawahi kuumwa ila namfaham mtu aliyepona
  3. M

    Natafuta mume

    Hi mimi naomba kujua tayari umepata mume na kama bado upo serious kumpata mume naomba email yako swala la kuolewa jepesi usilikuze
Back
Top Bottom