Hongera sana, tumeona jinsi ulivyomshambulia mmiliki mwenzio wa gazeti kuwa anadaiwa mishahara na wafanyakazi wake, Mbona wewe haujatulipa tangu Mwaka jana, tunakuandikia habari, makala, na michoro haulipi? Unatumia pesa kuhonga wabunge eti unawapa pesa za mafuta, au kusaidia vituo vya watoto...