Recent content by mlugha

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kenya yatahadharisha wananchi wake juu ya shambulio la al-shababi kwa kipindi hiki cha sikukuu

    Inatakiwa mtangaze atakayetoa taarifa mapema na zenye uhakika atapewa zawadi hela dawa ya ubaya ni hela Wao wanasaliti kwa ajili ya fedha toa hela pata faida
  2. M

    JamiiForums Tanzania Geita: Marufuku mtumishi wa umma kuvaa suti. Utavaa siku akija Rais au uwe mgeni rasmi tu

    Safi sana Wewe mtu miss acha sisi tuvae suti nyie vaeni tisheti za mitumba na magari msiende nayo maofisini mnatoa wapi hela ya mafuta kama mshahara.mnadai hauwatoshi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Serikali imulike ofisi ya utumishi halmashauri ya wilaya ya Singida

    Huyu mleta maada aliripoti kuwa shida yake ni nyumba halafu ndicho chanzo cha majungu sasa anataka aonewe huruma ndio kaamua na kumwaga mboga kwa lugha rahisi ni majungu hamna kitu hapo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa CBD area Kibaha

    Wanaml Wako katika finish ya mwisho itakuwa tayari MWezi wa 11
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa CBD area Kibaha

    Ukiwa na 170,000,000 millioni njoo unatazama Barbara kuu ya morogoro
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa CBD area Kibaha

    Nauza kiwanja Mimi sio dalali kiwanja kipo morogoro road CBD area sio makazi ni kwa ajili ya Biashara nk cont 0757240144
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jabiri Kigoda akamatwa na magari matatu ya wizi

    Huyo atakuwa ameingizwa mkenge magari ya SA huwa yanauzwa na wenyewe na wanaenda dai bima eti wameibiwa wanapiga hela Mara mbili bima na sokoni hii ni deal
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ijue benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania [TADB]

    Tuwekee mawasiliano ya maafisa mikopo ili tulioko mikoani tuwasilianane nao kabla hatujafunga safari kwenda kuonana nao Dar taarifa nzuri sana
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Tunafanya kazi kwa weledi na misingi ya sheria! Tumefungua upelelezi dhidi ya Zitto, tukimuhitaji tutamuita

    Zito ni kiongozi MKUU wa ACT wakumbuke hilo anawajibu kuna kama chama chake wanatekeleza kampeni sahihi acha jeshi lifanye uchunguzi kwanza
  10. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuna mtu anafahamu ndonya moja ni sawa na kg ngap?

    Ndonya ya pamba sawa na ndonya ya ulezi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mnamuonea wivu tu Jokate; kunyweni maji wanangu mkalale!

    Mimi nampongeza Lundenga aliyemuibua na kumpa support
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naibu spika, Dkt. Tulia Ackson asema ana nia ya kugombea ubunge ila hajajua ni wapi

    Nafasi kupitia ccm
  13. M

    JamiiForums Tanzania Peter Zakaria apata tabu sana. Sasa apata kesi ya uhujumu uchumi na kumiliki silaha nje ya sheria. Anyimwa dhamana...

    Kumiliki silaha ni uhujumu uchumi? Au kuna kosa la dhiada huenda alikuwa ana makosa mengine alikuwa akifanyiwa upelelezi akiwa nje au alikkuwa nje kwa masharti
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Lissu adaiwa kumponza Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji

    Ni promotion
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Jiji la Tanga awafukuza udiwani, madiwani wanne wa CUF, baada ya kupokea barua ya Magdalena Sakaya

    Msomi Wa chuo kikuu au ndio mwenyekiti Wa kamati za CUF hajuwi nani Mwenye mamlaka ya kumfukuza Diwani ndio anaegemea kuwa Mkurugenzi wakati Mkurugenzi kapewa barua I kimfahamisha kuwa madiwani wake wametumbiliwa mvumilieni J mtatiro
Back
Top Bottom