Huu ni utumwa mkubwa xana wa kifikra ukweli upo wazi kwenu lakini mnaendelea kujificha,,,ivi mnafikiri wazungu ni ndugu zenu au shangaz zenu waje kuwajengea nchi yenu huku tz,,,kwa uelewa wangu wanaeza kuja kuwalagai vijana washike siraha kuua ndugu zao basi,,,,africa hatuna kiwanda Cha siraha...