Recent content by Mlonganzila

  1. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli aagana na rafiki yake Odinga

    Rais Magufuli alitembelewa kijijini kwake Chato na rafiki yake kipenzi Raila Odinga kwa takribani siku tatu na leo Waziri Mkuu huyo wa zamani wa Kenya ameondoka kurejea Kenya.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Is Magufuli the man Nyerere sought?

    Is Magufuli the man Nyerere sought? [/SIZE] By Mwassa Jingi The year 1995 was of great social changes for Tanzania. The first multiparty elections were held in that year after three decades of single party system. Within that period of time, the country passed through different stages of social...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma 20 Nov, 2015: Hotuba ya Rais wa JMT kuzindua Bunge la 11

    Hapa sijakuelewa mkuu, so hotuba ilikuweje ?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli amtembelea Dr Helen Kijo-Bisimba

    Magufuli amemtembelea Dr Helen Kijo-Bisimba pale Agha Kahn
  5. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli apiga STOP Safari za nje ya Nchi; Elimu Bure kuanza Januari 2016...

    Leo Jumamosi, Rais Dr. Magufuli akutana na makatibu wakuu, manaibu makatibu wakuu na watendaji wakuu wa serikali leo Ikulu. Huu ni Mkutano Maalum. ============================= Updates; Picha na Ikulu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Magufuli afanya ziara ya kushtukiza Wizara ya Fedha

    Atembea kwa miguu kutoka Ikulu, avamia Wizara ya fedha, Wafanyakazi washangaa. Akagua ofisi chumba kwa chumba. Siku ya Kwanza baada ya kuapishwa, Rais Dk. Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza wizarani na kukagua ofisi kwa ofisi, kakuta Maofisa wengi wa Serikali hawapo kazini.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Dkt. Magufuli

    Soma vizuri CV yake!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Dkt. Magufuli

    KUTOKA MAKTABA: DKT.JOHN J.P MAGUFULI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM MWAKA 1985/1986 Kutoka Kushoto: Dkt.Abel Minani, Dkt.John P.J Magufuli na Dkt.John Kyaruzi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam muhula wa mwaka 1985/1986.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli apopolewa na wabunge

    Aalipokuwa anajibu maswali kwa uhakikia wabunge walitaka kumpopowa.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2005 Mmoja wa Waasisi wa Taifa mzee Mustapha Songambele alimtabiria Magufuli

    2005: MMOJA WA WAASISI WA TAIFA MZEE MUSTAPHA SONGAMBELE ALIMTABILIA MAGUFULI Mwasisi wa Tanu na CCM, Mustafa Songambele mwaka 2005 Mjini Songea aliwahi kumtabilia makubwa Dkt.Magufuli, wakati huo Magufulia alikuwa Mjini Songea kumpigia kampeni Dkt.Nchimbi. Mzee Songambele alisema laiti...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mkapa, Mwinyi na Magufuli mambo safi

    Mkuu japo nimerekebisha!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mkapa, Mwinyi na Magufuli mambo safi

    Rais Wastaafu wa awamu ya Pili na Tatu Mheshimiwa Ali Mwinyi na Mh.Benjamin William Mkapa walipofungua na kufunga mkutano wa Wadau wa Sekta ya ujenzi nchini uliondaliwa na Bodi ya Wakandarasi nchini CRB ikishirikiana na Bodi ya Wahandisi ERB pamoja na Bodi ya AQRB.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mkapa aipa kolabo Wizara ya Magufuli

    Unachosema kinaweza kuwa na ukweli kama DSM ingekuwa imepangwa kikamilifu " Transport and Land use" sasa Dsm ya leo unaanzia wapi kupata eneo la kutosha kuweka pedestrian path? unachokisema kinawezekana kabisa mji ukipangwa kitaalam sisi tumeshindwa kiongozi, sasa tafuta mtu makini wa kuja...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Waislamu Waazimia Kumuunga Mkono Lowassa!

    Ngoja muda ufike ndo mtamjua Magufuli ni nani, kosa tu akitangaza nia Lowassa kwisha labda asitangaze:
  15. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa aitikisa Arusha, kutangaza nia ya urais Mei 24 mwaka huu

    Kiboko ya Lowassa huyu hapa:
Back
Top Bottom