ni aibu sana kwa nembo uliyoweka hapo na ukashindwa kufahamu vitu vidogo kama hivyo basi ngoja nikuelekeze kidogo ili usiwe unaabisha chama chako kwa uwezo ambao unao. Ebu pata haya maarifa kidogo kuhusu Source halafu niambie kwa nini Bbc Isiwe source na nikaamua kushare na wewe. kabla ujasoma...
bbc ni miongoni mwa vyanzo vya taarifa na sio tatizo kuchukua habari kutoka kwenye vyanzo vingine ndio maana mwisho wa hiyo taarifa unaoana kuna bold yenye maneno bbc.
Wanasayansi wamekuwa wakitengeneza chembe chembe za kinga ya mwili zinazoweza kushambulia asilimia 99% ya virusi vya HIV vinavyosababisha ukimwi na hivyo kuzuwia maambukizi kuendelea.
Chembe chembe hiyo ya kinga imetengenezwa kwa ajili ya kushambulia sehemu tatu muhimu za virusi na hivyo...
Zitto Kabwe afanya kile ambacho wananchi na wanasiasa walikuwa wanasubiri. amesema nini habari kamili hii hapa HUU NDIO UTETEZI WA ZITTO KABWE MBELE YA KAMATI YA BUNGE YA HAKI, MAADILI NA MADARAKA YA BUNGE | MWANAZUONI
Tangu limetokea Tukio la Mbunge wa Singida Mashariki kushambuliwa na watu wasiojulikana kumekuwa na jitihada mbalimbali kunusuru maisha yake. Utaratibu wa Kumpeleka Marekani unafanywa na mbunge..... soma habari kamilNYALANDU AFANYA MPANGO WA KUMPELEKA TUNDU LISSU MAREKANI KWA MATIBABU ZAIDI...
Tangu limetokea Tukio la Mbunge wa Singida Mashariki kushambuliwa na watu wasiojulikana kumekuwa na jitihada mbalimbali kunusuru maisha yake. Utaratibu wa Kumpeleka Marekani unafanywa na mbunge..... soma habari kamili NYALANDU AFANYA MPANGO WA KUMPELEKA TUNDU LISSU MAREKANI KWA MATIBABU ZAIDI...
Mbunge wa Arusha Mjini na Mbunge wa Iringa Mjini wamezungumzia hali ya kisiasa nchini Tanzania Pamoja na Hali ya Lissu wakati wakifanya mahojiano na KTN. Tazama walichosema kupitia hapa KTN WAFANYA MAHOJIANO NA LEMA NA MSIGWA KUHUSU HALI YA LISSU | MWANAZUONI
KTN yafanya Mahojiano na Wabunge wa Chadema Mhe: Lema na Msigwa wamesema mengi kwenye mahojiano hayo pamoja na kuzungumzia hali ya Lissu. habari zaidi ipate kuptia hapa
Ni kweli mada nyongine ni upumbavu basi kwa kuwa na wewe ni mlumbavu pia ndio maana umechangia. Pia rejea mada kuweka hizo picha sio maana ndio tatizo kubwa la wana kawe kama umesoma vizuri nimeeleza katika maelezo zangu hauna maelezo yangu wala sija based katka hiyo pich jipange kijana wacha...
Ni vizuri kutoa maoni yako kwan ni haki yako kikatiba ila ujui unachosema japo unatumia kasumba ya kutumia maneno ya kiingereza katika kuonyesha ni jinsi gani bado mtumwa wa fikra. Sikia napenda sana kuona watanzania wakivunia rasimali zao kwa haki na usawa ila nachukia sana kuona kuna watu...
Sikia sina maana picha niliyoweka ndio matatizo.ya kawe ni hayo 2 ili ni miongoni mwa matatizo.ambayo yanawakabili wakazi wa kawe baada ya kuchagua saccos na kuacha chama. Ndugu yangu hakuna kitu ambacho saccoss( chadema) huwa wanafanya na kukisimamia kwanza chadema msimamo wao ni sawa na...
Hahaha siwezi kubadili neno hilo pia sikia kama wewe unao ushahidi kwa yale ambayo mdee ameyanadi katika mikutano yake mwaka 2010 na kaweza kutimiza weka tuweza kuyafahamu pia na mimi nikulete ushahidi kuwa hakuweza kutimiza na kusema kuwa halima ametenda dhambi ya kuogopa japo najua hata mungu...
Ok njaa kwa binadamu ni kawaida na kuhusu suala la njaa ndio lilolomfanya Mbowe aende Ikulu. Pia njaa ndo iliyomfanya dr slaa kujiunga na Saccos japo chama cha siasa anakijua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.