Kamwene ndugu yangu, ki ukweli sijui kama ni mwanamtandao au vipi, hoja yangu nikuwa nimekuwa nikijiuliza sana what does mtandao stand for??? ni wale ambao wapo kwenye kundi la RA, EL au SS mwenyewe, akiiibuka mwingine akawa upande Bakharesa,Mengi, Manji,Mlimilavangi, Superstaa na wengine wengi...