Usikose kipindi cha keki ya taifa ambapo leo tutakuwa katika ibara ya tano na ya sita ya katiba pendekezwa tukiangazia tunu za Taifa wageni dr Francis Michael,wakili Evod Mmanda na Mhadhiri Onesmo Kyauke kuanzia saa mbili na nusu hadi saa tatu na nusu usiku leo tarehe 9/3/2015.
Unawezesha...
Leo tutakuwa na wadau wa siasa,na hasa tutamulika maadhimio nane ya bunge katika sakata la escrow na hotuba ya rais katika utekelezaji wa maadhimio hayo,nini mtizamo wako karibu utoe maoni kisha utapata fusra ya kupeperushwa live hapa mlimani tv chanel 114 startime
Umejifunza nini kupitia uchaguzi wa serikali zamitaa uliofanyika jana?umeridhishwa na mwenendo mzima wa uchaguizi huo,,,,nini kifanyike kuboresha dosari zilizojitokeza ilizisijirudie tena,, toa maoni yako na mtizamo wako utasomwa moja kwa moja kupitia kipindi cha keki ya taifa saa mbili na nusu...
Maonesho ya kimataifa ya elimu yamesogezwa mbele hadi taraehe 17-21 ilikukidhi maombi ya watoa huduma ya elimu kuanzia shule ya msingi mpaka chuo kikuu waweze kushiriki, haya yatakuwa maonesho ya kwanza ambayo lengo ni kuwa na one stop centre ya elimu Tanzania.
Vyuo vikuu vya nje zaidi ya...
Tunaomba radhi kutokana na sababu ambazo ziko nje ya uwezo wetu kipindi keki ya taifa kilichotarajiwa,kuhusu masuala ya elimu pamoja na changamoto za upatikanaji wa taarifa hakitakujia leo kitawajia siku nyingine tutawataarifu,tunaomba radhi kwa usumbufu
Taasisi za elimu,vyuo vikuu na shule zaidi ya 500 kutoka ndani na nje ya nchi zitakuwa katika viwanja vya mwalimu Nyerere maarufu sabasaba, katika maonesho ya elimu ya kimataifa ya kwanza Tanzania,ambapo bodi ya mikopo, TCU, wizara ya elimu watakuwa katika viwanja hivyo kuanzia Desemba 10 hadi...
Wizara ya elimu,ofisi ya waziri mkuu tamisemim,tantred pamoja na global eductaion link ltd ,watawakusanya watoa huduma za elimu zote nchini katika eneo moja la viwanja vya mwalimu nyerere maarufu kama sabasaba,kuanzi desemba 10 hadi 15 lengo ni kuanzisha mfumo maalum wa maonesho ambapo wananchi...
Ofisi ya waziri mkuu tamisemi,wizara ya elimu na mafunzi ya ufundi,mamlaka ya biashara na huduma za nje tantrade pamoja na global eduction link wanatarajiwa kufanya maonesho makubwa ya kimataifa ya elimu ndani ya viwanja vya sabasaba kuanzia shule za msingi hadi chuo kikuu,ambapo watanzania wote...
Leo katika kipindi cha keki ya taifa hapa mlimani tv kinachokujia saa mbili na nusu hadi saa tatu na nusu tutakuwa na mada in ayoangalia uwekezaji wa pamoja unaofanywa na fursa zinazotaka na uwekezaji wa pamoja unaratibiwa na utt,,,unaweza kuweka swali lako hapa na litapata fursa katika kipindi...
Je,unaridhishwa na maendeleo ya soka la tanzania kuanzia ligi kuu,timu ya taifa na timu za vijana?je tumejikwaa wapi na tufanye nini ili kujikwamua,,toa maoni yako yatarushwa moja kwa moja katika kipindi live mlimani tv(startime chanel namba 114)
Katika kipindi cha keki ya taifa kinachorushwa kila Jumatatu saa mbili na nusu mpaka tatu na nusu hapa MLIMANI TV (chanel 114 startimes) leo tutakuwa na mjumbe wa iliyokuwa tume ya mabadiliko ya katiba ndugu Humphrey Polepole,atatizama kwa makini utofauti kati ya rasimu ya pili ya katiba pamoja...
Habari ndugu watanzania,
Leo katika kipindi chetu cha keki ya taifa hapa Mlimani Tv (Startime channel 114) kinachowajia saa mbili na nusu hadi tatu na nusu usiku, tutamulika miaka 15 Taifa la Tanzania bila hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere.
Swali ambalo tungependa maoni kutoka kwenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.