Kwanini iwe NIT pekee?
Vyuo vilivyoidhinishwa kufundisha kozi za HGV & PSV havizidi 15 nchi nzima!!!
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Ukiwa unatoka Jangwani, ukifika makao makuu ya Yanga kunja kulia.
Nyoosha na hiyo barabara kama mita 500 kisha ulizia ilipo ofisi ya FERGUSON(transporter)!!
Hapo ni sehemu sahihi kwa hitaji lako..
Hapo masasi ipakie kwenye lorry hadi songea! Ukifika Songea ipakie kwenye lorry za Bhanji zinazopeleka makaa Uganda.
Hawajawahi kukataa mizigo. Watakufikishia vizuri sana!!!
Bahati nzuri nazungukia karibu kila mahali penye miradi mikubwa ya ujenzi..
Mtawalaumu vijana bure tu.. kama hakuna anaekufahamu kwenye hizo site, kupata kazi ni ngumu sana!!
Ile ilikuwa ni shughuli ya wamiliki wa land rover siyo shughuli ya wazalishaji wa landrover..
Mbona Tanzania matukio kama haya yapo sana!! Au haupo nchini?
Watu wa subaru hukutana sana, watu wa cruiser hukutana tena wameahidi kufanya event kubwa kuliko hii!!!
Wewe unatatizo gani na watu wa...
Ukitaka kunyooshana nao nenda saa saba usiku tarehe imeshabadilika!!
Kesho saa 4 asubuhi wakitaka kukuondoa utawakamatia hapo kwenye tarehe maana haijabadilika..
Sijui umenielewa? ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.