Recent content by Mlima simba

  1. Mlima simba

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    6KMJ1J Sports Bet
  2. Mlima simba

    JamiiForums Tanzania Tuendelee kufatikia kesi ya mpigania haki kiki za akina nchimbi tuzipuuze.

    Mtuletee live Kama siku zote Manyanza na Leo tena kama upo hapo Mahakamani mkuu
  3. Mlima simba

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu aendelea kujitetea - Agosti 24, 2026

    Ahsante Sana mkuu Manyanza nimefuatilia kuanzia mwanzo mpaka mwisho ,nimesoma mpaka Nukta ubarikiwe Sana Kwa hii live. Nasikitika kuna baadhi walikuwa wanatuharibia live yetu, mtu anasema hafuatilii kesi na Hana Muda huo lakini Uzi mzima zinajaa comments zake . All in all ni democrasia Acha...
  4. Mlima simba

    JamiiForums Tanzania Haji Manara aendelea Kumkalia Kooni Heche baada ya kusema Simba na Yanga zinatumiwa kisiasa

    Manara ambaye ni Diwani WA CCM
  5. Mlima simba

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnakosea kulea Ufisadi wa Heche

    "Kama kala hela za Chama muondoeni msimuangalie machoni." Unasema kama Kala hela inamaana huna uhakika, basi Lete ushahidi ili tuamini kuwa ni kweli , kwa sababu mnyika kakanusha wewe tuletee ushahidi. Vinginevyo tutaamini kuwa ni uzushi.
  6. Mlima simba

    JamiiForums Tanzania Wanaobeza maridhiano mko dunia gani?

    Ila CCM sijui mnatuonaje wananchi, mlikuwa na vikao na hao chadema baada ya Mbowe Kutoka kolokoloni baada ya kumshukia takribani miezi minane. Baada ya Yale mazungumzo likitokea nini uchaguzi wa serikali za mitaa? Nchi nzima mlipora uchaguzi , hata Mwalimu wa sekondari mlimwambia hawezi kujaza...
  7. Mlima simba

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Mwanaharakati mwiba wa Serikali ya Magufuli

    Hatimae amefanikiwa
  8. Mlima simba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Maandamano yanayotarajiwa kufanyika tarehe 29 lazima yadhibitiwe kwa sababu yatavunja haki za wengine kuchagua viongozi wao

    Umetumia VPN gani kulog in Jamii Forum? Hiyo ya kufungia mtandao sio haramu? Haivunji katiba?
  9. Mlima simba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Utetezi wa saba wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 18, 2025

    Mkuu Saa Saba imefika bado hamjarudi ?
  10. Mlima simba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Utetezi wa saba wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 18, 2025

    Kila la kheri mkuu, tupo hapa tunakutegemea Kwa update za Mahakamani
  11. Mlima simba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Utetezi wa sita wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 16, 2025

    Tupo pamoja mkuu na tunakutegemea huko.
  12. Mlima simba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini Serikali huwa inawaajiri Mawakili wenye uwezo mdogo sana?

    Binafsi naona KATUGA akili anazo vizuri Tu, ila tatizo linakuja kutetea uongo ni vigumu Sana dhidi ya ukweli.
  13. Mlima simba

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    5M3NZR Sports Bet over one
  14. Mlima simba

    JamiiForums Tanzania Nimefikia kikomo cha mwisho cha uvumilivu huu ujinga sasa basi

    Nini kimekukuta mkuu? Funguka!
Back
Top Bottom