Recent content by MLG

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maendeleo mapya: Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Uzalendo

    Binafsi napongeza sana mjadala huu. Niseme tu kwamba watanzania tulishatiwa umaskini mkubwa kifikra. Tumeminywa kiasi kwamba hivi sasa mtu si tu kwamba hawezi kusema ila hawezi hata kusema kwamba hawezi kusema. Watanzania tunaendeshwa na genge la watu tu. Hatuwezi kujiamulia tuongozwe na nani...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Vijana na Mchakato wa Katiba Mpya chini ya uratibu wa asasi ya vijana TYVA unaendelea

    Nina bahati mbaya sana niko safarini na ninasikia kwenye gari pasipo usikivu mzuri. Kuna mtu anawezajua marudio hasa katika redio na/au TV ni lini na saa ngapi?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mhadhara Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi: Mwakyembe, Sitta, Shivji et al ndani!

    <p> </p> <p>&nbsp;</p> What's more?
  4. M

    JamiiForums Tanzania UDSM-haya magazeti mnapewa bure?

    Tuongelee ya Kiswahili tuone. Nadhani ni kweli wanakwepa magazeti hot.
Back
Top Bottom