Magufuli hana uwezo katika masuala ya kimataifa, Kikwete ni mtaalam wa masuala ya kimataifa yakiwemo ya ushirikiano na kimahusiano. Hivyo Magaufuli ni Rais wa Tanzania kwa masuala ya ndani na Kikwete ni Rais w Tanzania kwa masuala ya nje. Events za kimataifa zote zitakazo hitaji presence ya Rais...
Dr. Asha-Rose Migiro tunakuomba utangaze nia kwani msururu wa wote waliotangaza nia ni wasindikizaji.
Dr. Migiro ni Waziri wa Katiba na Sheria, anasimamia masuala yote yaayohusu katiba, sheria na haki za binadamu.
Uzefu wake:
1. Waziri wa Katiba na Seria
2. Mkuu wa Chuo kikuu huria cha...
Umesema vema kuwa hawa ni watu wenye taaluma, weledi na heshima zao. Lakini tusiwe watumwa wa fikra kwa kujaji mtu kwa weledi na sifa zake, kumbuka hapa hatujaji mtu isipokuwa kazi yao, hivyo tutaijaji rasimu kwa maudhui na mantiki yake badala ya kumuangalia mtu usoni. Tuanze hoja kama...
Jibu ni NDIO.
Takwimu za tume ya Warioba zina makosa, tena makosa makubwa ambayo yanafanya kila hitimisho lililoegemea takwimu hizo kuwa na makosa. Tena mbaya zaidi ni kwamba makosa yao si ya kibahati mbaya ya kiubinadam, isipokuwa ni ya makusudi na yaliyopangwa ili tu yaakisi utashi wao binafsi...
Hapo kwenye red; kwanini iwe ni tusi kwa aliyewateua? acheni hoja za kubangaiza, huku ni kwa vile tu mmekosa hoja.
Kama hata baadhi ya wateule wa Mungu wanaasi (vitabu vya dini vinatuambia) je hilo ni tusi kwa Mungu? itakuwaje sembuse kwa mteule wa mwanadamu?
Mteuzi hachafuki kwa lolote eti tu...
Wewe ndo unajiita unafikiri?? kwani hayo maswali si aliyajenga katika kujibu hoja? aliyaulizia wapi hayo maswali? chooni? ni kwamba hana majibu ya hoja na maswali yanayoulizwa kuhusu rasimu ya tume yake. Hawa Ghasia ana haki ya kumuambia afunge mdomo wake kwa kuwa anachokifanya ni kupigia debe...
Mimi nimekujibu kwa hoja, nadhani wewe ndo unaleta mipasho na kutaka kusutana hadharani,... otherwise na wewe ungenijibu kwa hoja.
Mimi sijaona mipasho ya mh. Rais, isipokuwa umenifahamisha kuwa kila usilolitaka wewe kulisikia masikioni mwako kwako ni mipasho.
Natumai una akili na wewe ni mtu mzima, ijapokuwa hata mtoto wa darasa la kwanza hawezi kuwa na hoja dhaifu kama za kwako;
Hapo kwenye Blue; Hakuna mahali Kikwete alilalamikia idadi ya watu waliotoa maoni kuwa ni ndogo, isipokuwa alihoji udogo wa namba ya watu waliozungumzia muundo wa muungano...
Mkuu umenikosha sana moyo wangu kwa haya uliyotuelimisha juu ya Dr.Migiro na UN kwa ujumla.
Watu hatufanyi analysis juu ya jambo fulani bali tunaongozwa kwa chuki, fitina, uzandiki na tamaa za ajabu ajabu.
Kila mtu akitaka kweli ya moyo wake kufaham juu ya Dr. Migiro na kilichotokea UN hakuna...
Acha uzuzu wako wewe zezeta,
Kwa hiyo kipimo chako ni kwamba kwa Ban Kimun bado yupo UN ndio ameperform na kwa vile Dr. Migiro hayupo UN ndio ame-under perform. Performance ya mtu haipimwi hivyo mkuu, unajiaibisha.
The good way ya kupima performance ya Migiro: tuambieni ni kipi alitakiwa...
Wewe acha kuwa mtumwa wa fikra.
Kwa hiyo wazungu ndio wamekuwa miungu yako? wakiona kitu hakifai basi na kwako hakifai? kwa hiyo wewe ubongo wako uko controlled na wazungu??
Nawashangaa sana watu kama nyie maochangia humu JF kana kwamba wote tuliomo huku ni watoto wadogo.
Hizo ni chuki zenu kisiasa ziszo na mbele wala nyuma, unafikiri kuna mtu atategemea kuwa mtu kama Ben Saanae na wenzake waje hapa wapongeze??
Kwa mtaji wa kisiasa you may be right lakini kwa ukweli...
Naomba nikujibu kwa uungwana japo hukuchangia kiuungwana na hustahiki kufanyiwa uungwana.
Huwezi kutambua uislam unaelekeza nini kwa kumuangalia muislam anafanya nini, kama ambavyo ni kawaida pia kumkuta muumini anatenda kinyume kabisa na maelekezo ya imani anayojinasibisha nayo, hatuwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.