Recent content by Mlati

  1. M

    about watulivu,wenye heshima zao na wa dini!!

    Wanao kua na heshima katika jamii wanazo ishi inakua vigum kupapatikiwa mfano mzuri nipale unapokutana na mtoto wa kike ambae amevaa mavazi ya kujiheshimu harafu sura yake ikaonyesha hali ya upole na kujiheshimu kama huna mazoea naye inakua vigum sana kumtokea utajiuliza maswali mengi sana hata...
  2. M

    Wazazi walitengana nikiwa na umri wa miaka 12,hili suala linaniumiza nikikumbuka

    Pole sana kosa ni la wazazo wako ila unaposema kua dini haina nafasi kwenye mapenzi ya kweli insu inakuja mnapoanza uhusiano wenu inawezekana mlikua na imani za kawaida hutokea mtu kubadillika kutoka maisha ya upotofu na mkumludia mungu wake hapo ndipo kimbembe kinaanza ni bora unapoamua...
  3. M

    Akina dada huu utaalamu utawacost sana, hivi inakuwaje unaweka viungo sehemu za siri kama pilau?

    Swala kama hilo kwa wanawake huwa halijarishi alie soma au ambae hajasoma wanawake mambo mengi ya kijinga
  4. M

    Je ni kweli kiama cha wanaume wa mjini wanaopenda kulelewa?

    Hilo ni soma tosha kwa sisi wanaume ambae unaoa mwanamke kwa kufuata pesa zake mwisho wa siku unaabika mbele ya ndugu na jamaa zako mbasha na Gadna ni watu ambyo mapenzi yao yalitawala vyombo vya habari mwisho wa siku wameishia kuaibishwa
  5. M

    Kaachana na mke wake, wazazi wa mwanamke wamemkabidhi mdogo wake

    Jamani kuna jamaa yangu alikuja kuomba ushauri yeye alioa akaishi na mke wake mwaka mmoja,baadae mke wake akaanza tabia za ajabu ajabu jamaa baada ya kulalamika kwa wazai wa mwanamke mambo anayo fanyiwa na mke wake. Wazazi wake wakamwambia huyo hamuwazani ngoja tukubadilishie mdogo wake jamaa...
  6. M

    Utafiti: Wanawake wenye mvuto wa kimapenzi huwa vigumu kwao kuolewa

    Tatizo wanakumbana na vishawishi vingi inawapelekea kujisahau na kua na nyodo inawapelekea kuogopwa na wanaume wenye nia ya kuoa ila kwa mchepuko ndo mahali pake
  7. M

    Kaja kuomba samahani bila aibu

    Kumbe mzalamo sina cha kushauri
  8. M

    Mwanaume kumuuliza kiasi cha mahari mpenzi wake ni halali?

    Katika uislam mahali anapanga binti anayetaka kuolewa kwahiyo hajafanya kosa kukuuliza akutolee kiasi gani
  9. M

    Imeniuma sana, lakini nashukuru nimepata fundisho

    Ila inauma sana na usipo kua na subira unaweza kukatisha uhai wa mwanamke ambae anatafuta njia ya. Kuachana ili mgawane mali ambazo umeumiza kichwa kutafuta afu yeye anandaa mazingira ya kugawana ndo mwanzo wa kutumiana Ladi ili mmoja wenu aondoke Duniani mapema amuachie mwenzie
  10. M

    Mapenzi pesa maua mpelekee nyuki

    Ukiona demu kama huyo ni mcharuko na anatabia mbaya kama angekua na shida ya pesa angekuambia kiustarabu inaonyesha anatabia mbaya na dharau za kijinga mapenzi ni maamuzi binafsi ila katika hali ya kawaida hakufai
  11. M

    Utafiti: Kuzaa mtoto wa kiume ni hasara kwa mzazi

    Awa wanawake ni mtihani mkubwa sana hasa upande wa kusaidia ndugu zako usipokua na uwezo wa kujisimamia maamuzi yako lazima ugombane na ndugu zako
  12. M

    Mwanaume akikuzalisha asikuoe amekuharibia maisha

    Swala la kuabort ni sili ya mtoaji na alie muumba alie zaa sio sili kwa mtu yeyote
  13. M

    Mabinti amkeni mnazeeshwa na makanisa ya kiroho

    Misikitini hakufundishwi imani za kijinga Binti anafundishwa zaidi kufuata misingi ya uchamungu suala mume mwema binti anatakiwa kumchunguza tabia ya mwanamme atakae taka kumuoa pamoja na kumshirikisha mungu. Uyo alie toa taraka kwa kunyimwa mali hajitambui wajibu wa mwanamme ni kubeba jukumu la...
Back
Top Bottom