Recent content by mlanziG1

  1. mlanziG1

    Wanafunzi wa UDSM na kamba za vitambulisho kila sehemu

    Hahahaha, ayo maneno tu yasiyokuwa ya msingi bt ukweli huwa unaendelea baki cku zote udsm ndo baba lao
  2. mlanziG1

    Wanafunzi wa UDSM na kamba za vitambulisho kila sehemu

    Tatizo auxiliary police pale getini wanazingua ndo mana tunavaa tusisahau
  3. mlanziG1

    Wanafunzi wa UDSM na kamba za vitambulisho kila sehemu

    Acheni mambo yenu Mimi mwenyewe first year bt huwa tulikuwa hatutaki kuvaa kivile bt kutoka mabibo kuja ubungo tunakataa kuweka mfukoni tutasahau alaf tukifika pale getini ma auxiliary wanazingua htr ndo mana tunavaa mda wote
  4. mlanziG1

    How To Identify Legit Work At Home Business.

    Aalafu naomba kuuliza account ya benki ninayo exim na stanbic pia hii bank statement naweza ipata ht km cjafanya miala ya kuweka na kuchukua zaid ya mara mbili
  5. mlanziG1

    How To Identify Legit Work At Home Business.

    Mkuu mimi nina shida jinsi gani naweza kufungua paypal au payza kwny verification huwa nashindwa mkuu naomba msaada wako
  6. mlanziG1

    PayPal ndani ya Tanzania

    Jamani me nna shida kwenye verification ya payza inanishinda kwny proof of adress cz wanasema p.o.box hawaikubali hivyo niwekeje proof of adress
Back
Top Bottom