Huu ni ukweli mtupu na unatakiwa kuungwa mkono na kila mwenye akili,vijana tunakosea sana linapokuja suala la kuoa.Unamkuta mtu humjui hata kwao akikwambia jina lake tu inatosha na unataka ule tu,aidha uondoke au ndio hivyo tena unaoa.Mkianza kupishana unaanza kumlaumu Mungu,kama tu kwenye mambo...
Mwambie sikupendi na unamwona kama kinyesi kama ulivyopost hapo juu.Shida yako unajibebisha ukiwa nae na usishangae unalia kabisa ukiwa nae ,na kwa kweli ni vigumu sana mwanaume kutolala na mwanamke wake wa zamani kwa uzoefu wangu kuna siku utampa tu,after all why not?Kwa Mimi ex wangu hana...
Bila chembe ya shaka we we bado hauko Sawa na hiyo x-wako.Kwanini umfanyie kitu kibaya kama umemsamehe?Na pia hivi kipindi chote alikufanyia ubaya tu ?huenda alijitoa sana kwa ajili yako kwa vitu Fulani nyakati Fulani.All in all forgive and move on.
Kwa kifupi nimesoma kitabu cha Tundu Lissu na Mark Curtis kiitwacho "The Golden Opportunity"na kuweza kugundua namna jamaa ambavyo ameanza muda mrefu kuongea juu ya wizi wa rasilimali za nchi hii.Wahenga walisema mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,ni mtu asiyemfahamu Lissu ndio anaweza kubeza...
Wakuu katika kutafakari yaliyotokea kwa jirani Kenyatta nimejikuta nikikumbuka kauli ya mkuu wa kaya kwamba kuna nguzo moja kati ya tatu za kaya yetu imechimbiwa chini sana.Nimecheka sana kwa kweli,labda alikuwa anatutania maana kaya yetu itakuwa imedidimia upande mmoja.Yote juu ya yote tuache...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.