Recent content by mlango

  1. M

    Sasa ni wakati wa JK kuwafurahisha Watanzania walio wengi na siyo wachache

    Mimi sipo nyuma ya Kikwete kwa upumbavu mnaoutetea wa kusaini mswada! Kikwete atakuwa anakumbukwa kwa mema endapo 2 hatausaini upuuzi wa wabunge wake mamluki na wachumia tumbo! Katiba ni yatanzania na siyo ya vyama vya siasa!
  2. M

    Serikali Tatu: Mapalala Anashindwa Kuchagua, Anatutisha Kwa Tulichokichagua...!

    Katumwa huyo! Hana jipya kaka! Cha kujiuliza ni je Dr Salim, Jaji Warioba, Mzee Butiku, Prof Baregu na WENGINE ni VICHAA KUPENDEKEZA SERIKALI 3? JE 2naoshadadia serikali 2 mnaelimu na ufahamu wa nchi yetu kuliko TUME YA KATIBA?
  3. M

    Serikali Tatu: Mapalala Anashindwa Kuchagua, Anatutisha Kwa Tulichokichagua...!

    Katumwa huyo! Hana jipya kaka! Cha kujiuliza ni je Dr Salim, Jaji Warioba, Mzee Butiku, Prof Baregu ni VICHAA KUPENDEKEZA SERIKALI 3? JE 2naoshadadia serikali 2 mnaelimu na ufahamu wa nchi yetu kuliko TUME YA KATIBA?
  4. M

    Gari la M4C lazua kizazaa msafara wa Rais Kikwete Mwanza

    Mlishajiuliza kwann Kikwete anapingana na MACCMA mashambenga kama Hamy D, Riz na wengne wenye tabia kama zao hata kwenye CC YA CHAMA? Chukua tafakari na chukua hatua!
  5. M

    CHADEMA watawaambia nini watanzania 2015?

    Mwenye macho hana sababu ya kusumbuka nanyi MACCM kwa miharo yenu mnayopost huku jf.
  6. M

    Eti, BAVICHA Mbeya yamvaa Naibu Spika!!

    Kichaa ni kichaa tu! Mharo mtu!
  7. M

    Haya Ndio Maoni ya Kambi Rasmi ya Upinzani Yaliyoleta Kizaizai Hadi Kuzua Vurugu Bungeni!.

    Mwanga uona umeanza kuangaza sasa. Hakika ukombozi unakaribia ndugu zanguni. Kama Pasco na Maggid wameungana nasi ktk kutetea haki! Naiona Tanzania mpya!
  8. M

    Mapambano bungeni ni dhidi ya ajenda mahususi ya CCM ya kuhodhi Bunge la Katiba-Mwl Lwaitama

    Ndiyo maana MACCM HAWAPENDI WASOMI WAKWELI KABISA ILA WANAWAKUMBATIA WAPUMBAVU MF MWIGULU.
  9. M

    Zanzibar ilipuuzwa kwenye kutoa maoni, upinzani wapo sahihi

    Haya sasa! Ushahidi upo wazi! MACCM MNASEMAJE? Leteni ushahidi wenu wa kimaandisha ya waliotoa maoni!
  10. M

    CUF: Ndugai awaombe radhi wapinzani

    Maccm yatasema mtatiro kanunuliwa kumtetea mbowe. Ccm mmekwisha hadi 2o15 mtaikimbia nchi.
  11. M

    Kwa nini Lissu alidanganya bunge?

    Nadhali VILAZA WA CCM mmejibiwa vyema na Kamanda anayeogopeka kama Njaa Tundu Lisu. Asante sana Kamanda wangu. Natambua jinsi CCM walivyojitahidi kuwa rubuni wajumbe wa mabaraza kuimba Kiitikio "Kwasababu 2napendekeza serikali mbili" na kuumbuliwa na Mzee Butiku na Mama Kibibi.
  12. M

    Kanuni hii ndio imemtimua Mbowe bungeni - Ndungai yupo sahihi

    Samahani, Hamy D, wewe ni hawara wa Mwigulu Njemba?
  13. M

    Kwa nini Lissu alidanganya bunge?

    Hv mleta mada uliangalia ITV taarifa ya habari ya saa 2 usiku jana? Nina maswali 3 kwako na wote mnaoshabikia CCM CHA MFU! 1. Kwa nn chadema, cuf na nccr mageuzi walitoka ndani ya ukumbi wa bunge? 2. Kwa nn wabunge wa ccm walifurahi baada ya upinzani kutoka? 3. Je kwann cuf na nccr mageuzi...
  14. M

    Tumeripoti polisi na Mhe. Sugu

    Njia ya kuelekea kwenye ukombozi wa mkoloni CCM!
Back
Top Bottom