Recent content by Mlangala mohamedi

  1. Mlangala mohamedi

    Mafunzo maalumu ya ualimu kidato cha nne mbona kimya?

    Usiwavunje moyo wenzako ukweli ni huu kwamba mwaka huu kulikua na namna mbili za uombaji kwanza ni kupitia wizara ya elimu na pili kupitia nacte kwa hiyo basi nacte wameshatoa matokeo yao ambayo yanahusu diproma na wizara ya elimu bado haijatoa matokeo kuthibitisha hili kwamba hata waliopo...
  2. Mlangala mohamedi

    Mafunzo maalumu ya ualimu kidato cha nne mbona kimya?

    Vuta subra hakika wizara ya elimu bado haijatoa majina ila hayo ni ya nacte
  3. Mlangala mohamedi

    Waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu ngazi ya CHETI (Grade A) na STASHAHADA 2013/2014

    #CHARLE umenena, kuna watu wengine ni akina sisi ila wanajifanya ni hakina wao
  4. Mlangala mohamedi

    Posts za ualimu zinatoka lini?

    Naomba nipewe taarifa kama kuna mtu anajua zinatoka lini?
  5. Mlangala mohamedi

    Kwa boys woote mada nzito

    alise mama upendo ukizidi ni noma
Back
Top Bottom