Recent content by mlambilisyo

  1. M

    Kitendo cha ITV kumpa Airtime Warioba ni Uchochezi au Ukombozi?

    Sioni kosa la warioba kwani Ana haki kikatiba kutoa maoni and by da way hajasema kuwa tuikatae Bali alijaribu kuchambua kwake yeye mazuri yaliyopo na ambayo cyo mazuri so kazi kwako kuipitia tena ili uweze kuipa kura ya ndio au Hapana kama inakufaa wewe na kizazi chako kijacho au la.
  2. M

    NMB Idara ya mikopo Rushwa imekithiri

    Nenda benki ya Finca jamaa Wako Pouwa sana hawana shida..
  3. M

    Ni Kawaida Hii? Au Ni Kwangu Tu Video za YouTube?

    Mkuu tupe maujanja ya kudownload video za YouTube..program ipi inayotumika.
Back
Top Bottom