Ndugu zangu habari za leo.
Nimeona ni vema nitoe tahadhari kwa ndugu zangu hasa taifa linapoelekea kuweka mustakabali wake kiuchumi,kisiasa,kijamii na kiutawala katika kipindi hiki cha uchaguzi.
Ni wazi kuwa Tanzania wakati tunapata uhuru maadui wetu wakubwa walikuwa UMASKINI, UJINGA na...
kwa sasa najua zoezi la kuandikisha linaendela Mtwara, mimi bado sijajiandikisha ila mara waandikishaji watakapofika nitahakikisha najiandikisha. pamoja na changamoto zote tusiache kujiandikisha.
Ndugu zangu nawasihi tujitokeze kwa wingi kwenye zoezi linaloendelea la kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura. Tusiishie kuwa kizazi cha walalamikaji tu, kumbuka kuwa kura yako moja ni muhimu mno kwa ajili ya maendeleo ya nchi hii.
Ni lazima pia kuwahamasisha wengine katika...
Kawaida sibishani na watu wenye utindio wa ubongo. Kwa utimamu wa akili nilionao Lema sio mleta maendeleo ni Mwanaharakati, najuta kumpa kura yangu TLP 2005, CHADEMA 2010. Kwa kuwa wewe ni mganga njaa huwezi kupanuka ubongo kufikiri mbali zaidi ya kitambi chako kinapoishia. Lema hafai kuendelea...
Sitampa Lema kura yangu, namuona ni bonge la kilaza. Arusha tunahitaji mtu mwenye visio. Leo hii kusema Rashid Shebert ni sehemu ya vichaa waliopko mtaani ni kujimaliza. anapaswa kukumbuka Rashid alijitoa kwa ajili yake kuanzia mitaaani, vijiwe vya kahawa hasa Soko kuu, Kilombero na kwingineko...
Hii Taarifa ni ya kinazi zaidi. Huwezi onekana una upeo kwenye macho ya watu kwa kutengeneza taarifa Slaa kakataliwa na Watanzania mwaka 2010 wakati huyo unayetaka aonekane anafaa kagombea toka mwaka 1995, 2000, 2005 na 2010 na hakuwahi kufikisha idadi ya kura za huyo unayesema kakataliwa na...
nadhani akili yako imejaa matope. Mungu gani aliyeshuka na kukueleza kuwa Uislamu ni dini ya Mwenyezi Mungu??? Na wapi kwenye Biblia inasapoti ushoga???? Ni vema kujiheshimu na kuheshimu dini za wengine. Kama Uislam ni dini ya Mungu ni kwa namna gani aruhusu machafuko ya mara kwa mara Misri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.