Recent content by mlambaji asali

  1. mlambaji asali

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League

    Licha ya kuwa wanacheza nyumbani ila ukijaribu kuchunguza nyuso za wanasimba wote utaona zimepooza. Wanaonekana wamejaa huzuni na hofu kubwa. Huku mtaani na vibanda umiza wamekuja kuangalia mpira bila kuvaa jezi zao.. Sijui hali watakayokuwa nayo baada ya dakika 90 kuisha.. Tuwaombee ndugu...
  2. mlambaji asali

    JamiiForums Tanzania Simba isipoachana na Robertinho basi ijiandae kuishia makundi tu klabu bingwa Afrika

    Sema kuburuza mkia kwenye kundi maana wanaenda kuwa vibonde wa kundi
  3. mlambaji asali

    JamiiForums Tanzania Max Nzegeli na Gamondi watwaa tuzo za Mchezaji Bora na kocha Bora August

    Kwa Max utopolo wamelamba dume
  4. mlambaji asali

    JamiiForums Tanzania Kila la kheri Chama la waarabu wenzangu Algeria

    Taifa stars watapigwa km ngoma
  5. mlambaji asali

    JamiiForums Tanzania Fedha zetu za Michango ya ujenzi wa uwanja wa Simba ndio zimeliwa?

    Ngoja mbumbumbu wenzako waje kukushambulia
  6. mlambaji asali

    JamiiForums Tanzania Waarabu wazidi kutamba Cafcl &Cafcc, Ni Yanga pekee amebaki kuwawakilisha Waafrika

    Yanga peke yake ndio anawakilisha wa afrika. Hongera sana kwa timu kubwa ya Yanga Mme set standard
  7. mlambaji asali

    JamiiForums Tanzania Hivi ile kampeni ya Simba kujenga Uwanja wake imeishia wapi?

    Toka lini mbu3 wakawapata akili za kuhoji?
  8. mlambaji asali

    JamiiForums Tanzania Simba yapigwa KO na Yanga, Sasa Yanga ndio Giant wa soka barani Afrika

    Simba ni wadogo sana Kwa Yanga, Yanga ana ubingwa wa nchi mara 29 Simba mara 22. Yaani Simba inaitaji ichukue ubingwa wa nchi mara 8 ili iwe juu ya Yanga
  9. mlambaji asali

    JamiiForums Tanzania Manji aliondoka na Yanga haikufa, kwanini Moo asiondoke atuachie Simba yetu?

    Mimi suala la uwanja wa mazoezi wa Simba kuuita jina lake hapo ndo aliponiacha hoi
  10. mlambaji asali

    JamiiForums Tanzania Zile Kambi za Dubai, Egypt na Sudan kumbe zilikuwa ni kwa ajili ya nusu fainali ya ASFC

    Ningeshangaaa kama Mikia wasingekushukia mkuu
  11. mlambaji asali

    JamiiForums Tanzania Simba tuache Wivu, Mafanikio ya Yanga yawe chachu kwetu

    Ni Wivu tu[emoji23][emoji23][emoji23]
  12. mlambaji asali

    JamiiForums Tanzania FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

    Umetoka mafichoni we mkia[emoji23][emoji23]
  13. mlambaji asali

    JamiiForums Tanzania Baada ya mechi ya leo kumalizika, Lawama zote atatupiwa Babu Onyango

    Pole in advance Kwa Babu yetu Mzee onyango ochieng' Oduo
Back
Top Bottom