Udini ulikemewa sana na Mwl. Nyerere, CCM wakautumia kama mtaji wa kwenda Ikulu 2010, mwaka huu wamevuna walichopanda 2010.
Nimemsikiliza mara nyingi Nape, sijaona kama analenga kudumisha uhai wa taifa letu na CCM pia. Siasa za Nape ni kupandikiza Chuki, Udini, Ukanda na ubaguzi mwingineo...