Recent content by mlale v

  1. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

    Pumzika salama kamanda, sote tunjiani twaja, bwana aiweke roho ya marehemu mahara pema peponi amina!!
  2. M

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Inasikitisha sana, kuitwa wapumbavu, na kuhaidiwa rushwa waziwazi ya 50 ml. katika vijiji endapo atashinda magufuli, wakati huo serikali iliyopo madarakani inashindwa hata kununua dawa katika zahanati zilizopo ndani ya vijiji vilivyoahidiwapesa. Hii inasikitisha kwa sauti ya pamoja kemea rushwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa, Duni wamsindikiza Seif kuchukua fomu za kuwania urais wa Zanzibar

    du ccm wameishiwa hoja na ndiyo maana wanaishia kuporomosha matusi kwenye uzinduzi wa campaini, namashaka siku za usoni kama hawatatupa mabom, naamini mzee mkapa kuporomosha matusi ya nguoni hakujitambua, tumsamehe, kwani zotehizo ni hekaheka za kutaka kuinusuru ccm, ccm kwishinee. Ukawa daima...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    hill ndo la msingi.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msikilizeni Zitto Star TV

    hana jipya
  6. M

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo tangazeni sera za Chama chenu sio mtu

    Zito njaa Kali, mfa maji hakosi kutapatapa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ndani ya Mafia

    Peoples, adui msogelee,Mafia mpoooo M4C ndo kila kitu. Lisu unasubiliwa ILEJE, sikumoja fika.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa Kariakoo, tuwasiliane

    kaeni chonjo hakuna biashara isiyo kuwa na mkataba wa aina yoyote, jamaa ajipange upya
  9. M

    JamiiForums Tanzania Pengo unamsamehe Gwajima kwa kosa gani?

    mi ninacho amini kwa sasa siyo watu kumuogopa na kumwabudu mungu Bali huende kufanya biashara zao kama kuuza magazeti na taarifa nyinginezo, hili so la kushamgaza
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kijana akutwa akifanya mapenzi na Mbuzi Wilayani Newala

    hiyo ni hatari sana
  11. M

    JamiiForums Tanzania PSPF, Utaratibu wa mkopo wa elimu ya juu upoje?

    jamani sijaelewa dhidi ya mkopo wa elimu kutoka pspf, wanatoa tuu ada au na accommodation nyinginezo. harafu unapata mkopo hata ukipata chuo Nje au la naomba ufafanuzi wadau
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete akutana na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania mjini Dodoma leo

    hapo umenena! hilo ndo la msingi hakuna jingine zaidi ya hilo mengine ni kupotezeana muda mnajadili kitu ambacho kinamajibu kuwa hata mkikaa mezani msimamo na matakwa ya ccm ni kutimilika na kuipitisha katiba bila kujali maoni ya wananchi.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Samweli Sita - Heshima kitu Cha Bure _Linda Heshima yako - Jiuzulu

    ni vyema kuwajibika mwenyewe mh. sitta kuliko kuipata aibu ambayoitasumbua maisha yako na utu wako! ubabe na kiburi si kitu cha busara. na kiongozi mwenyebusara ni yule anayetetea maslahi ya umma (watu wanyonge na wengi) kuliko kutetea wachache na wababe wasiojari utu wa mtanzania, ushauri wangu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania JF Poll : Kura ya Maoni, Bunge Maalum la Katiba lisitishwe au liendelee?

    livunjwe kabisa
Back
Top Bottom