Kinachotakiwa ni " ni hatua gani tuichukue kulikabili hili" na si kuzama kwenye mengineyo. Nchi hii inahitaji hatua ngumu ngumu ngumu sana kwa hapa tulipofika wenyewe au kufikishwa na wengine.
Maadamu Balozi Dr. Slaa hajakuomba uyanene hayo kwa niaba yake, si kwamba unajaribu kutuonyesha wewe mwenyewe ulivyo (kila ukimfikiria Mdude) kwa mgongo na sura ya Dr. Slaa??? !!!
Kwa maneno mengine criticism yako kwa Dr. Slaa ni taswila ya wewe mwenyewe ulivyo ( self yako ilivyo ) mbele ya Mr...
Inatuonyesha wazi UIMARA wa Dr. Slaa ulivyo na alivyo tishio kwa wale wasio tayari kuachana na ulaghai uliozagaa karibia nyanja zote, ulioshika mizizi na umekomaa, unaoitesa nchi kwa sasa.
Pamoja na kuyatamka hayo, hajapigilia msumali wa maneno "HANA NIA TENA...au ...MILELE". Kwa sababu hiyo bado nafasi anayo na inamsubili kwa manufaa ya watanzania.
Zaidi ya hapo ni "NARCISSIST" wa kikimyakimya wa aina ya "SOCIOPATH".
Na ndo maana wengi na hata anayeongoza kwa sasa hawaoni madhara aliyonayo kwa taifa.
Na tuliyenae kwa sasa anadhani na kuamini kabisa kuwa; kama mstaafu alipitisha kisirisiri, kinyemelanyemela janjajanja zake kwa watanzania - richmond, escrow, n.k. - iweje yeye ishindikane kwa yanayofanana na hayo?.
Wewe mleta uzi; mbona hatutajiuliza na wala kukuuliza ni kwa nini sasa hivi hunyonyi, hutambai, wakati uliwahi kunyonya na kutambaa hapo nyuma? Au mbona una nafasi (hatuijui ) fulani sasa wakati labda uliwahi kuwa darasa la kwanza miaka fulani nyuma. Iweje hukubakia anayenyonya, anayetambaa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.