Recent content by Mkyeku22

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni lini Tanganyika itaacha kuikalia Zanzibar kimabavu?

    Is the Other Way round. Jussa huwa anaongea kwa hasira na machukizo labda kwasababu ya Mababu zake wa Oman walivyonyang'anywa Visiwa vya Zanzibar na badala yake vikajiunga na Tanganyika. Tanzania Bara haijakalia Zanzibar chochote ila Zanzibar ndiyo ina Mirija ya Kunyonya Tanzania Bara kuanzia...
  2. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Dkt. Slaa alitoa kauli ya kuipindua Serikali wakati wa mahojiano

    hapa Hakujua nayeye Atachanganywa Punde
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kukosoa wanasiasa haiwezi kuwa ‘UDINI’

    Pamoja na Yote haya ila Maaskofu wamekurupuka kwa Tamko linalofanana na matamko ya vyama vya siasa na hilo ndilo tatizo kubwa. Wangejitofautisha na Chadema wangefanikiwa zaidi.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Huwa napitia JamiiForums naangalia maoni yenu

    Shida ni wale unaoingia nao maridhiano wengi wao haswa viongozi wako kama vinyonga. Kila saa wanabadilika Rangi. Mfano ACT visiwani ipo kwenye umoja wa serkali kabisaa ila kashfa wanazotoa utafikiri hawako serkalini na wala kwenye maaridhiano. Watu kama hao hata uridhiane kwa miaka 10 hakuna cha...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mbowe kugeuka na kuwa kama kina Shibuda, John Cheyo na Mrema ni upi mustakbali wa siasa za upinzani Tanzania?

    Imethibitisha hakuna Upinzani TZ zaidi ya Njaa za wanaojiita viongozi wa upinzani. Wate wana njaa kali. wameonyeshwa pesa kidogo tuu lugha zimeguka, sio Mbowe wala sio Lisu.
Back
Top Bottom