Recent content by mkwikazanya

  1. M

    JamiiForums Tanzania "SO SADi" Soma hapa ujifunze!

    kweli huo ni unyama but tunaamini katika kila jambo au tukio mungu ana makusudi yake!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jamani niende au nisiende? msaada....

    laki tano sio ndogo na sio sawa na kukaa bila kazi au bila kipato - nenda kafanye kazi ujenge maisha yako
  3. M

    JamiiForums Tanzania Huyu binti kanikera naomba ushauri

    lakini pia wewe ni lazima akili aliyokupa mungu uitumie sawasawa, kama msichana amekiri mwenyewe kuwa na mahusiano nje ya mahusiano ni sawa na mwizi aliye kiri kosa mahakamani hatua inayofuata ni kuhukumiwa - ukimuacha umemsaidia sana nawe pia umeepuka mengi, wewe ni mtu na familia yako kwani...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Huyu binti kanikera naomba ushauri

    hata kama ni nyumba ndogo uaminifu ni muhimu sana, kwasababu mapenzi ni gharama sio kulala tu kitandani!
Back
Top Bottom