Ww inabidi ukae kimya maana hata kuitaja hujuwi, utajuwa yaliyokuwemo ndani yake?
Na kinachomata ktk pesa ni kuwa umeipataje na utaitumiaje, na si vyenginevyo.
Hapakuwa na ubaya kupokea pesa ya Lowasa. Ubaya ni kumshirikisha ktk yale mengine.
Mfano mzuri upo hapa karibu na ni Zanzibar ambapo hupiga marufuku mambo fulani ktk siku za mwezi mtukufu wa Ramadhaan. Sasa ww nenda kule ufanye yale ambayo ktk dini yako ni sawa ila wao wameyakataza uone sababu yako itakuwa na uzito!
Then kwanini uweke Qur-ani wakati haikuhusu?
Lakini kuhudumia serikali 2 zilizo na mawaziri takriban100 siyo mzigo kwa tafaifa. Na wala misamaha ya kodi siyo mzigo kwa taifa? Si ndiyo au! Ila walalahoi ktk serikali hii hata sim card tunailipia kodi
Yani siyo kilicho na faida kwa ccm kitakuwa na faida kwa cuf na Wazanzibari na pia kilicho na faida kwa cuf siyo kitakuwa na faida kwa ccm na kwa Wazanzibar kwa ujumla wao.
Eti walidai takwimu za mapendezo ya baraza, lkn sheria inasema tume ipeleke rasimu bungeni na siyo na takwimu za mapendekezo kwasababu isingewezekana kutokana na wingi wa mabaraza yenyewe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.