Recent content by MKWANO

  1. MKWANO

    Tetesi: Manispaa ya Ilemela mnamhadaa waziri mkuu kwa faida ya nani ?

    1. Watumishi wadai Hela ya Likizo Zao tangu 2024. Ujio wa Mhe Waziri Mkuu,watumishi waliambiwa wapeleke Vendor form na Bank statement tayali kwa kulipwa Kama hawakulipwa kihalali na Serikali inajua ( maana Waziri Mkuu ndiye alikuwa Waziri wa Fedha),Kwa nini mlimhadaa kwamba Halmashauri...
  2. MKWANO

    DOKEZO Viongozi mko wapi? Watoto wetu wanapigwa kama ng'ombe shule ya Sekondari Ibungiro

    Huenda tatizo lipo kweli lakini Mtoa hoja hajaeleza kwa undani shida ni Nini hadi watoto wapigwe kama ng'ombe? 1.Malalamiko mengi kwa shule za serikali husasani Ilemela ni adhabu kwa watoto wanaoshindwa kuchangia michango Lukuki mashuleni A. Kuna michango ya Remedial program hasa vidato vya...
  3. MKWANO

    Anahitajika wakala wa pos/eftpos terminal

    Moderator Nisaidie kuliweka kwenye jukwaa la habari mchanganyiko ndugu,Nina shida na hela na sijui napata wapi wakala,hapa nilipo nimezunguka sana bila mafanikio
  4. MKWANO

    Anahitajika wakala wa pos/eftpos terminal

    Mwenye kujua alipo wakala wa kutoa hela iliyoko mtandaoni ( E MONEY CARD) tuwasiliane inbox au nipe location,awe mwanza,Arusha au Dar es Salam
  5. MKWANO

    Watumishi wahamishwa bila malipo licha ya agizo rasmi, sheria inasemaje?

    Tayali meza imepinduliwa ,asanteni sana kwa ushauri wenu. Uhamisho umefutwa kwa sababu ya kukiukwa kwa kanuni na taratibu za kiutumishi.
  6. MKWANO

    Watumishi wahamishwa bila malipo licha ya agizo rasmi, sheria inasemaje?

    Sehemu J na L ziko upande wa watumishi labda kuwe na waraka unaopinga hivyo vifungu
  7. MKWANO

    Watumishi wahamishwa bila malipo licha ya agizo rasmi, sheria inasemaje?

    Sheria inabana,kuna mtego wa utoro na utovu wa nidham
  8. MKWANO

    Watumishi wahamishwa bila malipo licha ya agizo rasmi, sheria inasemaje?

    Barua haitaja sababu za kuhamishwa,na hizo barua za kuchagua kituo kwa wote 7 hakuna aliyeomba KUHAMA. Moja ya jitihada zilizofanyika leo kwenda ofisi ya utumishi kuomba ufafanuzi, hawana jibu na Kaimu Mkurugenzi aliyesaini hizi barua hakujua scenerial,na ameshauri waliporipot kituoni na wàndike...
  9. MKWANO

    Watumishi wahamishwa bila malipo licha ya agizo rasmi, sheria inasemaje?

    Watumishi wamehamishwa kutoka kituo A cha kazi kwenda vituo vingine bila malipo, ingawa agizo la uhamisho lilitolewa na kamati maalumu ya ukaguzi. Mkuu wa idara, akionyesha nia njema, aliwaita ofisini ili kila mmoja achague kituo cha kazi kwa maandishi. Hata hivyo, amezitumia barua za...
  10. MKWANO

    Ofisi ya Rais – TAMISEMI Special Thread: Karibu tukuhudumie, tupe Maoni, Maswali, Mapendekezo na Malalamiko

    Yangekuwa ya kihuni mlengwa angeshauriwa kuomba kuhamishwa bila malipo?
  11. MKWANO

    Ofisi ya Rais – TAMISEMI Special Thread: Karibu tukuhudumie, tupe Maoni, Maswali, Mapendekezo na Malalamiko

    Naomba ufafanuzi tafadhali Kuna Hali imetokea kwenye shule A,mwalimu aliwasilisha maoni yake kwa Afisa Elimu wake kwa nini matokeo ya shule hiyo A ni mabaya( ya mwisho mkoa kila mwaka) na akatoa na ushauri wa nini kifanyike Bahati mbaya kwa yule mwalimu,ile message iliyotumwa kwa Afisa Elimu...
  12. MKWANO

    Kwa milioni tatu nifanyeje ili nikaishi kwangu?

    Nashukuru kwa huu ushauri,niliiufuata na nimejenga vyumba 2 na nimehamia,ila haijakamilika 100%
  13. MKWANO

    PreGE2025 CCM achaneni na Samia 2025, leteni mtu mwingine kabla ya uchaguzi afanye reform kwa hali iliyopo, chama kiingie kwenye uchaguzi kikiwa kimeaminika

    Nchi haijatulia,sema uoga wa kuhoji umeongeza sana Kwa jicho la kiroho,kuna kizazi hiki Cha 2000 hiki kitakuja kuleta mageuzi barabarani,Hawa ambao wanasoma tu lakini hawana uhakika wa ajira,Hawa wanaopelekwa JKT baadae wanaachwa mitaani bila ajira Kwa kifupi 2025 hata akishinda lakini Nina...
Back
Top Bottom