Recent content by mkuu mwenyewe

  1. M

    Gloves ngumu za kutumia bakery

    Mkuu kama uko dar nenda pale sinza kumekucha, kuna kampuni inaitwa pincipal inatazamana na geti la kanisa la KKKT,wanazo watakuuzia. Oven Gloves Tshs 35,400
  2. M

    Niiweke wapi hii mill 2?

    Njoo uwekeze kwenye biashara yangu upate gawio kila mwezi.au nipe mkopo....ni pm
  3. M

    Yaani na tanzania nayo ipo!

    uchumi unategemea kukua kwa 7%
  4. M

    Mkopo:Msaada ndugu zangu

    Thanks mkuu Nimeku PM
  5. M

    Mkopo:Msaada ndugu zangu

    Habari wadau wa maendeleo. Kuna biashara nataka kuanzisha nipo kwenye mchakato. Lakini nimekwama kiasi cha fedha. Lengo la kuandika thread hii ni Nahitaji mkopo wa 1.5 mill tu. Ntarudisha baada ya miezi miwili kwa mkupuo. Mwenye msaada katika hili kunikopesha hapa wadau au kupata contact za...
  6. M

    Msaada wa maboksi ya kuwekea keki

    Kuna jamaa nilipewa namba yake anapatikana ilala.ntakuja PM umcheck.
  7. M

    Kwa tuliosoma Kantalamba secondary school

    Nilikuwa jirani yenu kizwite 2003, kuna kiboko yenu Mwl njaga mnamkumbuka??
  8. M

    Natafuta business partner or loan

    Asante mkuu kwa kumwelewesha.
  9. M

    Natafuta business partner or loan

    Bado mkuu sijapata mkopo...
  10. M

    Natafuta Mchumba wa kike

    habarini wakuu, hasa wanawake hii inawahusu.Natafuta serious mchumba.kigezo cha kwanza awe mcha God (mtu wa maombi na sala asubuhi mchana na jioni, kufunga na awe mtu wa ibada), age kuanzia 25 hadi 35,elimu kuanzia first degree awe na kazi au biashara, haijalishi ana mtoto au la. Ikimpendeza God...
  11. M

    Oven inahitajika.

    thanks mkuu, Nipo dar..bajeti yangu itadepend na Idadi ya plate na hali yake. we unayo ya plate ngap? used or? then ntakupa bajeti
  12. M

    Oven inahitajika.

    habarini, Oven kubwa inahitajika kwa ajili ya bakery iwe used au mpya, Inayotumia gas ndio kipaumbele.bei tutaelewana kutokana na ubora wake na idadi ya plates (1 ...).
  13. M

    Oven inahitajika.

    habarini, Oven kubwa inahitajika kwa ajili ya bakery iwe used au mpya, Inayotumia gas ndio kipaumbele.bei tutaelewana kutokana na ubora wake na idadi ya plates (1 ...).
  14. M

    Natafuta business partner or loan

    habarini wandugu? miezi michache iliyopita nilianza mchakato wa kuanzisha biashara ya bakery. Cha kwanza nilinunua Mixer mashine (for cakes) kubwa ya lita 20, kisha nikafanya ujenzi wa eneo la mradi ambapo yamebakia matengenezo macheche sana.nature ya biashara itakuwa ni kutengeneza na kusupply...
  15. M

    Nahitaji flat screen ya startimes

    habarini wakuu? Nahitaji kununua flat screen ya startimes yenye kutumia kadi ya startimes,ukubwa kuanzia Inch 24.PM tufanye biashara.
Back
Top Bottom