Recent content by MKUSINI OG

  1. MKUSINI OG

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tusilee ujinga, nilipogundua hii dawa akaondoka mwenyewe na hana hamu tena

    Na Mimi nahamia Kwa shemegi
  2. MKUSINI OG

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kero: Muwe mnawanyoa wake zenu wakikaribia kujifungua

    Narudi Kwa baba chanja haraka nikafanyiwe usafi
  3. MKUSINI OG

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vipi mpenzi wako anapenda kukufanyia nini? Mimi wangu anapenda kunibeba mgongoni!

    Nikipata mpenzi nitawasimlia anachonifanya
  4. MKUSINI OG

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi nimebambikiziwa mimba

    Miezi 5 mbona mingi Hadi mtoto ameshaanza kucheza tumboni
  5. MKUSINI OG

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimezama kwenye penzi la shemeji yangu(mdogo wake na mke wangu).

    Kuna vyote tusubir parapanda siku mkeo akijua
  6. MKUSINI OG

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shikamoo Filters..

    Pole
  7. MKUSINI OG

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mshangazi basi ujue unasakwa kwa penzi matata

    Kwani mshangazi unaanzia miaka mingapi
  8. MKUSINI OG

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali linaloumiza wanaume kichwa: Babe can we talk/Nataka leo tuongee!!!

    Mungu naomba utulinde n ndoa zetu
  9. MKUSINI OG

    JamiiForums Tanzania Punguzeni pombe vijana, Ukipata nafasi ya kuacha acha kabisa

    Namchunguza naona ameacha
  10. MKUSINI OG

    JamiiForums Tanzania Punguzeni pombe vijana, Ukipata nafasi ya kuacha acha kabisa

    Nimeolewa nimekuta mume wangu mpenzi wa Bangi sana nilianza kumrekebisha taratibu Hadi ameacha kabisa
  11. MKUSINI OG

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa nje ya ndoa anaruhusiwa kurithi, mahakama ya rufaa yasema

    Kwa utaratibu wa dini ya uislam mtoto wa nje ya ndoa hana urithi labda baba wa mtoto ampatie chake kabisa
  12. MKUSINI OG

    JamiiForums Tanzania Umewahi kufanyiwa kituko gani na Fundi Nguo (Cherehani) mpaka ukatamani msingefahamiana?

    Sitaki mchezo na Hela zangu amekuja home kuniomba msamaha
  13. MKUSINI OG

    JamiiForums Tanzania Umewahi kufanyiwa kituko gani na Fundi Nguo (Cherehani) mpaka ukatamani msingefahamiana?

    Nilipeleka vitambaa viwili Kwa fundi nikalipa Hela kabisa mwisho wa siku nikaamua kuchukua vitambaa vyangu Hela hakunipa nilimfanyia Dua takatifu ya dafaalbalaaa hatimae wateja hana wamekimbia
Back
Top Bottom