Recent content by Mkusa

 1. Mkusa

  Polisi wafanya doria Sinza kuzuia maombezi, WanaCHADEMA wawili washikiliwa

  BAVICHA wamekosea sana,haya maombi walitakiwa wayapangie Goba,kule kuna ujambazi sana,nadhan wakazi wa Goba tungelala kwa amani maana Polisi wangepiga doria usiku kucha
 2. Mkusa

  Ni ukomo wa bunge sio urais, BAVICHA na UVCCM tuwe na akiba ya maneno

  Kwa hiyo unadhan ukomo wa ubunge na u raisi kuwa miaka mitano (kwa Tanzania),tena sambamba unadhan ni bahati mbaya ? Go back to Your form 11 CIVICS...
 3. Mkusa

  Mustakabali wa usalama wa Tundu Lissu

  Usiku wa kuamkia Leo Kibabu cha USA kimekukamatia vyema. Naona akili zako zimerudi
 4. Mkusa

  Kupatwa kwa Jua: Sayansi imethibitisha Mungu hayupo

  Mkuu kama Viongozi wa dini wamefanikiwa kukujaza hofu bado hauwakubali ? Hiyo hofu imetokana na nini ? Pia kumbuka kuwa dini ni Suala la imani n wala sio la ki Sayansi useme uingie Lab ufanye Majaribio. Hebu jiulize ukifa uanenda wapi ?
 5. Mkusa

  CP Simon Sirro Please take Note : Kushamiri kwa Mtukio ya Uhalifu Kata ya Goba

  Mods mnaeza Saidia kuiweka kwenye appropriate forum
 6. Mkusa

  CP Simon Sirro Please take Note : Kushamiri kwa Mtukio ya Uhalifu Kata ya Goba

  Kwako Commissioner Simon Sirro, Siku za karibuni kumeshamiri matukio ya Wahalifu kuvamia Makazi ya watu katika kata ya Goba, watu wanaibiwa Mali zao, watu wanajeruhiwa na kuumizwa, Wanaume wanadhalilishwa mbele ya wake zao na wakati Mwingine mbele za watoto wao, watu wanapata usumbufu Mkubwa...
 7. Mkusa

  Maazimio Ya Kamati kuu CHADEMA live Azam Tv

  Wewe ni yule Mwenye Mkia ama usiye na Mkia ?
 8. Mkusa

  Engineer's Registration Board : Please Take Note

  Jikite kwenye hoja hata kama wewe ni Mkenya ama Mhindi
 9. Mkusa

  Engineer's Registration Board : Please Take Note

  Wakuu JF nawasalimu Sana kutoka Malinyi. Nimeamua kutumia Forum hii (Popular Jukwaa la Siasa) kuongea na Body ya kusajili Wahandisi Tanzania (Engineer's Registration Board, ERB) Kumekuwa na a very huge Influx ya The so called Engineers kutoka Nje ya Nchi (Hasa hasa Kenya,China na India) kuja...
 10. Mkusa

  Uozo wa ufisadi wa Chenge: Kwanini UVCCM hawajaandamana hadi sasa?

  Mkuu, CCM wote ni Mataahira,sana sana wataishia kuandamana kumpongeza
 11. Mkusa

  Zitto: Nitafanya maamuzi kuhusu hatima yangu CHADEMA mwezi Machi, 2015

  Mkuu, Hicho kikundi yasemekana yeye ndiye muasisi wake lakini
 12. Mkusa

  Mohamed Said, Mashujaa walikuwa "wazee wako" tu?

  Jaman hivi Mzee Mohamed Said is a real thing hapa JF ama kuna mtu anatumia tu ID yenye jina la huyu Mzee ? Maana yuko active mnoo hapa JF kulinganisha na umri wake. Pamoja na ubaguzi wake na udini uliokubuhu,namkubali sana huyu Babu
 13. Mkusa

  Godbless Lema: Huu mwaka sio mrahisi kwa sababu CCM wamepanga mikakati mingi ya kidhuluma kuliko

  Wenzako akina Chabruma wametoka,wewe endelea tu kuwa Mcheleshaj wa JF
 14. Mkusa

  Karibu Kinondoni Paul Makonda kwenye Ngome ya CHADEMA

  Jaman Chabruma Kaulaaaaaa
 15. Mkusa

  Rais Kikwete awapandisha vyeo makanali

  Vipi Kuhusu ndugu zetu wa Zanzibar, sijawaona akina Makame Kabisa hapa aisee, kulikoni jaman, na pia Majina ya wale walalamishi naona yako kama matatu tu, Elimu Dunia ni muhimu jaman pia as well.
Top