Recent content by Mkunzi

  1. M

    Hayana gharama lakini haya yanatugharimu sana kama taifa la vipofu

    Ndo maana ya sheria mkuu, mshitaki ana haki na mshtakiwa nae ana haki ya kusikilizwa ! Haimaanishi kuwa mshitakiwa mtu anakua amepoteza haki zake ndo maana kuna room kama kupimwa magonjwa ya akili ili wajithibitishie ! Kweli mahakama zetu zinatumia muda mrefu kwenye kesi ! Lakini pia lazima...
  2. M

    Msaada Award Verification Number (AVN) inatofautiana na matokeo yaliyo kwenye Transcript

    Nimewasiliana nao wakasema shida Asante mkuu , niliwasiliana na uongozi wa chuo mwanzo wakawa wanakataa ila baada ya muda wakakubali kwamba shida iko hapo hapo chuoni maana waliangalia matokeo ya watu tofauti tofauti wakakuta ni tofauti kweli ! Wao wanasema "mfumo umecheza" hivyo watawaandikia...
  3. M

    Msaada Award Verification Number (AVN) inatofautiana na matokeo yaliyo kwenye Transcript

    Na ikitokea ukaapply hivyo hivyo si unaweza ukapoteza sifa !! Mfano kama hivyo GPA ilivyoshuka ? Au naweza kuapply hivyo hivyo tu !
  4. M

    Msaada Award Verification Number (AVN) inatofautiana na matokeo yaliyo kwenye Transcript

    Wakuu msaada MOSintel Inc Jurrasic Park DavidsonM42 Arch.katunzi herikipaji karibuni mnaweza kuwa na mwanga
  5. M

    Msaada Award Verification Number (AVN) inatofautiana na matokeo yaliyo kwenye Transcript

    Habari wadau changamoto niliyonayo ni Matokeo ya Award Verfication Number (AVN) hayaendani na matokeo yaliyo kwenye Transcript kwenye transcript nina GPA ya 3.8 lakini kwenye AVN matokeo yangu yanaonesha nina GPA ya 2.7 na Sina sup yeyote Naomba kusaidiwa ili niweze kufanya application
  6. M

    PreGE2025 Vyama vya siasa vijiongeze kwa kuajiri wataalam ya lugha ya ishara wanapofanya mikutano yao

    Leteni hilo deal wajuzi tupo ! Mkitaka na taarifa tuzichape kwa nukta nundu niko hapa mtaalam!!
  7. M

    Mtaa umebalance shobo

    Tuliosoma Zayuni wakahahidi kututafutia hadi ajira tunakaa upande gani ?
Back
Top Bottom