Recent content by Mkungunero

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sasa kwenda Bukoba ni TZS 100K kutoka TZS 65K, LATRA mnafahamu hali halisi ya maisha ya Watanzania wenzenu?

    Suku mkiacha wogo kama wakenya ndo nchi utabadilika. Sasa unaandika kana kwamba una uchungu lakini siku maandamano yakitanganzwa unajificha as if kila kitu kiko shwari kabisa. Kenya huwezi fanya upumbavu kama huu kama rais hajaonja joto la jiwe.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hivi watu wanapataje Uprofesa? Ndiyo maana Musukuma anawadharau sana

    Kwa takwimu zipi. Mbona hajaambaranisha na descriptive statistics yoyote kusapoti argument yoyote. Je mwingine angesema watu 2 kati ya 100. Shida yule ni prof hapaswi kuongea kama layman. Ndo mana schorlary Huwa Huwa tunaandika "according to..........."
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi watu wanapataje Uprofesa? Ndiyo maana Musukuma anawadharau sana

    Hivi Profesa mzima unasema eti kati ya watu 100 ni wat 5 tu wanaoajiriwa na serikali. Haya yalipaswa kuongewa kweli na profesa mwenye kujua kufanya utafiti japo tafiti zetu ni ungo? Sasa kama unaweza kudeclare hivyo kwanini mnawakamata machanguduo wakati mnadeclare kuwa serikali imeelemewa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliichukua CCM ikiwa imechoka akaikarabati na kuipa Umaarufu, ni sahihi kumuenzi!

    Aliryhidi mikutano ya vyama vya upinzani ili kusindana naye?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wanaotajwa kumrithi Chongolo Ukatibu Mkuu CCM

    To hell. Kwani yule ni kijana au Mzee. Pili muuni yule nani amridishe tena ili chama kisambaratike?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Emmanuel Nchimbi anafaa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, anaweza kujenga chama, kudhibiti nidhamu ya chama, akiwemo yule bwana mdogo

    Mnalazimisha tu. Chama kimeshajiishia mnalazimisha eti kipendwe. Hata aje yesu chama kimeshaisha ndo mana hata jpm alilijua Hilo akaamuru wakarigenzi watangaze hivyohivyo wabunge bila hata kushinda kwa kuwapiga biti Kali kwamba yeye ndo anawawekea mafuta kwenye magari. Ndo mana ukisoma tune huru...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliichukua CCM ikiwa imechoka akaikarabati na kuipa Umaarufu, ni sahihi kumuenzi!

    Mazuri yake ni kuwatangaza wagombea wa ccm kwa nguvu bila kushinda na kulijaza bunge na maccm tu. Kila mbunge wa ccm anamkimbuka kwa sababu aliamsaidia kupata kitu bila hata kushinda. Cc. Gwajima, mkumbu nk
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliichukua CCM ikiwa imechoka akaikarabati na kuipa Umaarufu, ni sahihi kumuenzi!

    Miundo mbinu yote ni ya jk. Hakuna miundombinu mipya ya jpm hata kidogo.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliichukua CCM ikiwa imechoka akaikarabati na kuipa Umaarufu, ni sahihi kumuenzi!

    Ataonekana kama anapendwa au la kwenye sanduku la kura. Lakini jpm yeye hakutaka hata ushindani na mtu yeyote ndo mana siasa zikazuiwa akabaki anapiga siasa peke yake
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliichukua CCM ikiwa imechoka akaikarabati na kuipa Umaarufu, ni sahihi kumuenzi!

    Jpm alikuwa too much. Kila kitu kilikuwa vururuvuru mpka tukahisi tuko motoni tayari wakati Bado. Samia anatumia akili sana. Sema imetupa funzo sana kuwa mwalimu kamwe Hana uwezo wa kuongoza. Ndo mana wanaofeli ndo hueomea ualimu na Hilo alilidhihirish ajpm kwamba walimu uwezo wao Huwa ni mdogo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliichukua CCM ikiwa imechoka akaikarabati na kuipa Umaarufu, ni sahihi kumuenzi!

    Bora hitaji ubora wake ulikuwa wapi zaidi ya kutisha na kuua anayemkosoa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliichukua CCM ikiwa imechoka akaikarabati na kuipa Umaarufu, ni sahihi kumuenzi!

    Umeongea Nini Sasa. We hujui kama jpm aliminya siasa zisifanyike abaki anafanya siasa peke yake. Ukitaka ujue kama unapendwa ruhusu na wengine wafanye siasa siyo unafanya peke yako halafu unajidai ccm inspendwa. Kwa Sasa mama anaweza kujijaji kwa sababu siasa zinafanyika pande zote na haogopi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliichukua CCM ikiwa imechoka akaikarabati na kuipa Umaarufu, ni sahihi kumuenzi!

    Sema magufuli aliilinda ccm kwa mtutu wa bunduki yeyote anayeichukui anakula chuma/Shaba. Kipindi chake ndo watu waliichukia ccm haswaaa lakini ikionekana hadharani tu ama unapewa kesi ya ugaidi au unauawa. Wabunge wa chadema wakatishwa wengi na wafanyabiashara wakafilisiwa ndo wakaanza kuunga...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni hii hii CHADEMA" mfu" Ndio inasababisha viongozi wa CCM kubadilishwa mara kwa mara au kuna jingine?

    Mbowe alisimgiziwa na jpm kwba ni gaidi Samia anaingiaje hapo
Back
Top Bottom