Recent content by Mkunangwa

  1. M

    JamiiForums Tanzania JKT kwa mujibu wa sheria kwa wahitimu wa kidato cha sita 2016 sasa ni rasmi mwezi Juni

    Huyo nahisi kakopy hbr ya mwaka jana
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nauli ya kutoka Dar mpaka Kampala Uganda

    Naamini wote mu wazima. Naomba kuuliza kwa anayejua nauli ya kutoka Dar mpaka Kampala Uganda kwa sasa ni shillingi ngapi kwa basi?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ngereja akataliwa Sengerema

    Haaaaaaa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ifunda Tech yafungwa kwa muda usiojulikana

    Hakuna mjinga anayegoma bila 7bu, lazima kuna kitu hakiendi sawa pale. Hilo la maji litakuwa ni chambo tu. Wasiishie kuwafukuza ila wachunguze mzizi wa vurugu!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Elimu yetu ipo kibaguzi, direct entry ndio wamepewa nafasi zaidi vyuoni

    Watatoa lini sasa na ukikumbuka bodi ya mikopo sisi haitujui sasa wakichelewa kutoa tutajpanga saa ngapi. Na unaweza kopa mkwanja kumbe chuo hujapata sasa si majanga haya jaman NACTE!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Elimu yetu ipo kibaguzi, direct entry ndio wamepewa nafasi zaidi vyuoni

    Jamani kama kuna mtu aliyeomba chuo kwa kutumia Equivalent Qualification na amepata naomba tujuzane. Maana mie huku hata usingizi sina?
Back
Top Bottom