yah ni kwel ila ndo mfumo wenyewe coz ili ata sirikal wanalijua c wana usalama wa taifa....lkn inabid wanyamaze coz mara nying huwatumia hawa jamaa kwa mambo ya uonevu(kipigo bila hatia )
ingekuwa nakufaham ningepinga nyumba yangu na wewe kukuonyesha kuwa CCM ni chama kizur tu ila baadh ya watu kwa tamaa zao wenyewe wanaiba fedha za wananchi.....lkn ccm itaongza tena vitvya ubunge
Lowasa hatoi rushwa bali anawadhihirishia wananchi kuwa ana uwezo wakwake kabla ata ya kwenda ikulu....by da way huyu jamaa ana utajir alorith toka kweny familia so tusifikir vibaya.....HILI NDO TUMAINI LA WATANZANIA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.