Recent content by Mkumbizi

  1. Mkumbizi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa utamu huu wa punyeto wanaume kando

    Mhhh!!! Aiseeee. Miogo yetu itakosa kazi kwa mwendo huo.
  2. Mkumbizi

    JamiiForums Tanzania Book reading: Unasoma au Umesoma kitabu gani ungependa wengine wakisome?

    Sina kitabu niachosoma zaidi ya Biblia Takatifu.
  3. Mkumbizi

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa TCU na NACTE

    Sio sababu ya msingi,jitahidi kufikiri kijana.
  4. Mkumbizi

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa TCU na NACTE

    Nacte wasifanye udahili kabisaa maana tuliomba mwezi machi ambapo f6 hata mock hawajaanza lakini leo selection tayari zishatoka,but nacte hawaeleweki sijui shida inakuwa nini? Sijui uwezo mdogo? Waziri haoni hayo?
  5. Mkumbizi

    JamiiForums Tanzania Udahili wa awamu ya pili kidato cha 6 umefungwa sasa

    Kwahiyo umesikia na jamaa wa mwanza,akili yako inakutosha kweli??
  6. Mkumbizi

    JamiiForums Tanzania Leo ndio siku ya mwisho ya second round!

    Wengine wamezoea fb wanafikikiri na huku kama fb,jaribu kufafanua ili ueleweke.
  7. Mkumbizi

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi na NACTE

    NAFIKIRI NACTE WAMESHINDWA KUFANYA KAZI YA UDAHILI WA WANAFUNZI,KWASABABU NILIOMBA TOKA MWEZI MACHI MPAKA SASA HAKUNA JAMBO LOLOTE LILILOFANYIKA WANA KERA SANA KWAKWELI.
  8. Mkumbizi

    JamiiForums Tanzania TCU Mtuangalie na sisi wa Diploma, mmetuweka wa Mwisho sana

    Ndio ilivyo sijui kunashida gani?
  9. Mkumbizi

    JamiiForums Tanzania Diploma holders mkosi gan huu tulionao jaman?

    Acha tu mkuu Mungu anaona tuu.
  10. Mkumbizi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwanini baadhi ya wanaume hampendi kufua boxer zenu?

    Wewe umeziona boxer za wanaume wangapi?acha uzinzi wewe mwanamke Mungu anakuona tuu.
  11. Mkumbizi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Utaratibu wa maombi kwa diploma holders tuliokwishaomba kupitia NACTE

    Unaruhusiwa kuedit Mimi mwenyewe nimeingilia TCU kwa kutumia password na username ya nacte nikafanya yangu,kumbuka wakati wa Maombi ya awali kulikuwa hakuna universities sasahivi vipo unaweza rekebisha utakavyo.
  12. Mkumbizi

    JamiiForums Tanzania Kwa application za degree kwa wenye Diploma

    Bange ya arusha
  13. Mkumbizi

    JamiiForums Tanzania Kwa application za degree kwa wenye Diploma

    Nahisi arusha jombaa.
  14. Mkumbizi

    JamiiForums Tanzania Waliokua wameomba vyuo kupitia NACTE sasa rasmi muombe kupitia TCU kwa gharama mpya

    Wewe umetoa wapi maelekezo hayo wakati NACTE wamesema kupitia tanazo lao www.nacte.tz.org kuwa mazungumzo yanaendelea ili waruhusiwe kudahili wanafunzi kulinganga na sifa zinazotakiwa na serikali. Usipotoshe watu.
Back
Top Bottom