Wewe unadhan kila jina umu ndani ni a.k.a... achakuashume mzee, kuna watu tunatumia majina yetu ya ukoo kitu ambacho juna haki ya kuhoji we mjinga mzee
Kubadili jina maana ake ni kubadili mzazi kwa sababu ni jina langu... na uhuni wa mtu haupimwi kwa jina... kuna watu wanamajina mazuri ila comment zao za kihuni sana.... shuhudia busara zangu,come share my blessings
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.