Recent content by Mkulu wawe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Namtafuta rafiki yangu Mbazi Mkiramweni

    Sio huyo mkuu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Namtafuta rafiki yangu Mbazi Mkiramweni

    Dodoma mkuu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Namtafuta rafiki yangu Mbazi Mkiramweni

    Mbanzingwa lkn tumezoea kumwita hvo kama unamjua niunganishe nae
  4. M

    JamiiForums Tanzania Namtafuta rafiki yangu Mbazi Mkiramweni

    Naona unafurahia kunizingua mkuu, rafiki yangu hajaoa ko possibly sio wewe Tulia mkuu kama yuko humu atanitafta
  5. M

    JamiiForums Tanzania Namtafuta rafiki yangu Mbazi Mkiramweni

    Nitumie namba yako PM tafadhari
  6. M

    JamiiForums Tanzania Namtafuta rafiki yangu Mbazi Mkiramweni

    Kama huyu rafiki yangu yuko humu tafadhari nimtumie namba yako PM Nakutafta sana
  7. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

    Mbowe kashinda kwakweli sijaamini kwa furushi alilonalo Boniyai ni wazi wajumbe wamempa uenyekiti Mbowe ..
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mtu alivyoharibu ndoto zangu

    Sasa hapo kakuharibiaje ndoto mkuu?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa laki nne na nusu, naombeni ushauri nifaye nini?

    Jinsia :Me Mkoa:Kagera Miaka:28
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa laki nne na nusu, naombeni ushauri nifaye nini?

    Wakuu nimefukuzwa kazi Niko na mtaji wa Laki nne na nusu (450,000/-) naombeni ushauri nifaye nini na hiyo hela
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sucess and failure in life is based on reason and reality sio maombi ya mkesho kanisani au uchawi

    Sprites ndo sijazielewa,unamaanisha zile soda au Nini mkuu?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Uteuzi Julai 2, 2024: Kidata aondolewa TRA, Jafo na Ashatu wabadilishana Wizara

    Kwenye uongozi huu wazee wa kobazi wanapata mashavu kweli kweli
  13. M

    JamiiForums Tanzania Serikali Awamu ya Sita zuieni matukio ya utekaji wa wanaoikosoa Serikali, haileti picha nzuri

    Wewe una chuki zako tu,mbona haya kaweka?
Back
Top Bottom