Recent content by MkulimaAgriClinic

  1. MkulimaAgriClinic

    Ufugaji wa sungura ni dili ukiachana na longolongo za wababaishaji

    Sungura ni mnyama mla majani, wanyama wala majani ni wanyama wa gharama nafuu kufuga maana huweza kula vyakula ambavyo wanadamu na wanyama wenye mfanano na binadamu hawali. Vyakula kama majani au mabaki ya vyakula hupatikana kwa gharama nafuu.Hii kufanya ufugaji wa sungura kuwa wa gharama za...
  2. MkulimaAgriClinic

    Fahamu kuku ghali zaidi duniani

    Kuku Wa kabila la Dong tao ambao wanatambulika kwa kuwa na miguu minene ndiyo kuku ghali zaidi duniani.Kuku hawa huuzwa kwa bei hadi kufikia dola za marekani 2000. Wanapatikana kwa wingi nchini Vietnam. Awali kuku hawa, walitumika kama mapambo katika nyumba za kifalme, sasa hivi...
  3. MkulimaAgriClinic

    Biashara ya Peanut butter ila Hela Sema Wengi Wanachemka kwa kucopy na kupaste

    SIAGI YA KARANGA (Groundnut butter/Peanut butter🔥🔥 1kg ya Karanga hutoa 900g ya (siagi) butter. Katika masoko ya ndani, 1kg ya butter ni tsh 6500_7500/= Gharama za uzalishaji Karanga: tsh 2000 -2500 Tuch. Max. Tsh 2500 Vifungashio , lebo na lakiri: 1000 per 1 kg Umeme: 100 per 1kg...
  4. MkulimaAgriClinic

    Fursa ya ufugaji wa ng’ombe wa maziwa

    Fahamu haya: Gharama za ufugaji ni kwa ajili ya; 1: Ujenzi wa mabanda 2: Kununua mbuzi wazazi 4:Gharama cha chakula 5: Gharama za chanjo na madawa 6: Gharama za ulinzi na wafanyakazi 7: Gharama za usafiri Mapato ya biashara ya ufugaji mbuzi hutokana na; 1: Kuuza Watoto 2: Kuuza mbuzi jike 3...
  5. MkulimaAgriClinic

    Fursa ya ufugaji wa ng’ombe wa maziwa

    Fursa ya Ufugaji wa Ng'ombe wa maziwa ni kubwa sana nchini.Kwa wastani Tanzania huzalisha maziwa lita bilion 3 kwa mwaka huku karibu lita bilioni 1 pekee hutokana na ng'ombe wa kisasa. Hata hivyo mahitaji ya maziwa ni makubwa sana (zaidi ya lita bilioni 10), japo logistics mbaya za uhifadhi...
Back
Top Bottom