Recent content by mkulima86

  1. mkulima86

    Nani kawahi kuwithdraw pesa UTT (Unit Trust of Tanzania)

    Aisee usisikilize sana Maneno ya watu mtaani ambao hawaijui UTT, ukihitaji pesa yako toka utt ni simple sana huhitaji hata kusafiri kwenda huko Crdb kutafuta form ya kujaza, fomu zote zipo kwenye website yao just download jaza information wanazotaka watumie within 10working days kaangalie kwenye...
  2. mkulima86

    Nauza photocopy Mashine

    Tshs 1,100,000/= tu, note this is a discounted price
  3. mkulima86

    Nauza photocopy Mashine

    Habari wana Jf, ninauza photocopy machine Cannon 2202 kwa bei poa kabisa, iko vizuri kama hutakuwa na uhakika utapewa guarantee kwa maelewano zaidi tuwasiliane kupitia namba 0625550187 or 0757281388 nipo Temeke chang'ombe.
  4. mkulima86

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Hapa mbeya (mbozi) yanapatikana mkuu, bei zake ni 36,000 mpaka 42,000 kwa gunia moja. Kwani upo maeneo gani mitula
Back
Top Bottom