Recent content by mkulima wa mtama

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kijana wa miaka 16 kutumia alkasusu. Dunia imekwisha

    Yawezekana alikuwa bibi yake na sio mamaake. Nadhani nimeeleweka.
  2. M

    JamiiForums Tanzania TBC imemuita nani hamnazo?

    Hakuna mjadala hapa, mbona mtangazaji kamaliza kila kitu? huyu atakuwa ni Jiwe tu, hakuna mwingine hapo kaka.
  3. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI njooni muondoe wezi Tanga Jiji na Mkinga

    Hii mambo haijakaa sawa sana. Mmlaka za kidhamu za watumishi hawa wa TSC zilifanyie kazi hili suala. Maana, bila kujali wanahusika ama hawahusiki, viongozi wa TSC HQ wamechafuliwa sana. Na hiki in tatizo sio tu LA Mkinga na Tanga mjini, ni almost wilaya karibia zote malalamiko kama haya yanasikika.
Back
Top Bottom