Kijana wa miaka 16 kutumia alkasusu. Dunia imekwisha

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,697
9,775
Kama Alkususu Mujarab ina matumizi mengine ndani ya mwili wa binadamu mbali na tumizi ninalolifahamu, basi inshallah! Lakini kama ninavyofahamu ndivyo ilivyo, basi kuna uwezekano wa kubakia mwaka mmoja dunia iangamizwe!

Nyakati za asubuhi nimeingia kwenye kijimgahawa kimoja kupata chai na chapati mbili za 400 400. Kwenye moja ya kiti alikuwepo kijana wa kama 16 yrs ama pungufu! Dakika 5 baadae alipita kijana mmoja akiwa ndani ya mkanzu na kumpatia kijana yule vikombe viwili vya Alkasusi! Baada ya kuvivugumiza kooni, alisimama na kulielekea gari lililokuwa mbele ya kijimgahawa hicho.

Baada ya hapo, alitoka mama mmoja kwenye upande wa kiti cha dereva kisha kuzunguka upande wa pili na kumfungulia mlango huyo kijana. Kijana aliingia kwenye gari kwa madaa kisha mlango wa ile texi ulifungwa, na ndipo yule mwanamama kurejea kwenye seat yake! Gari likawashwa na kutolewa eneo lile la tukio!

Nawaza ni kwanini huyu mama anamruhusu mwanae kutumia alkasusu Wazazi tubadilike kwakweli
 
Nyakati za asubuhi nimeingia kwenye kijimgahawa kimoja kupata chai na chapati mbili za 400 400. Kwenye moja ya kiti alikuwepo kijana wa kama 16 yrs ama pungufu! Dakika 5 baadae alipita kijana mmoja akiwa ndani ya mkanzu na kumpatia kijana yule vikombe viwili vya Alkasusi! Baada ya kuvivugumiza kooni, alisimama na kulielekea gari lililokuwa mbele ya kijimgahawa hicho. Baada ya hapo, alitoka mama mmoja kwenye upande wa kiti cha dereva kisha kuzunguka upande wa pili na kumfungulia mlango huyo kijana. Kijana aliingia kwenye gari kwa madaa kisha mlango wa ile texi ulifungwa, na ndipo yule mwanamama kurejea kwenye seat yake! Gari likawashwa na kutolewa eneo lile la tukio!

Nawaza ni kwanini huyu mama anamruhusu mwanae kutumia alkasusu Wazazi tubadilike kwakweli
Una hakika kuwa ni mwanae?
 
Hiyo alkasusu si kama kahawa tu!! Labda wengine mnaitumia mnavojua nyie
 
Huo ndo mtaji wake....Kwenye ofisi moja niliwahi fanya kazi kwa muda kuna boss huyo deile anaingia na "mabombonya" ya alkasusu hadi sio vizuri
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Nimekumbuka Majengo Arusha, alkasus mujarab kisha naingia zangu pale coffee hotel woooooiiiiiiiiiii mtu anauchezea mjegeje hadi kabwatuka.......kumbe na wananihii tuko na majiiiiiii jaman majiiiiiii kwa sauti kweli kweli
 
Majiiiii, majiiiiiii jamani majiiii
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Kama Alkususu Mujarab ina matumizi mengine ndani ya mwili wa binadamu mbali na tumizi ninalolifahamu, basi inshallah! Lakini kama ninavyofahamu ndivyo ilivyo, basi kuna uwezekano wa kubakia mwaka mmoja dunia iangamizwe!

Nyakati za asubuhi nimeingia kwenye kijimgahawa kimoja kupata chai na chapati mbili za 400 400. Kwenye moja ya kiti alikuwepo kijana wa kama 16 yrs ama pungufu! Dakika 5 baadae alipita kijana mmoja akiwa ndani ya mkanzu na kumpatia kijana yule vikombe viwili vya Alkasusi! Baada ya kuvivugumiza kooni, alisimama na kulielekea gari lililokuwa mbele ya kijimgahawa hicho.

Baada ya hapo, alitoka mama mmoja kwenye upande wa kiti cha dereva kisha kuzunguka upande wa pili na kumfungulia mlango huyo kijana. Kijana aliingia kwenye gari kwa madaa kisha mlango wa ile texi ulifungwa, na ndipo yule mwanamama kurejea kwenye seat yake! Gari likawashwa na kutolewa eneo lile la tukio!

Nawaza ni kwanini huyu mama anamruhusu mwanae kutumia alkasusu Wazazi tubadilike kwakweli

Kipi kinacho kushangaza apo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom