Kumtambulisha Nusrat Hanje kama mwakilishi wa BAVICHA huko Nyamagana ni uongo wa wazi na ni kumdanganya Rais Samia

Huwezi kudanganywa jambo unalojua ukweli wake.

Lakini sasa kwanini Chadema hawakupeleka wawakilishi?
Barua ilikuja Chadema kutoka uvccm ikiwaomba Bavicha washiriki , Bavicha wakauliza kama watapewa chance ya kutoa neno , uvccm wakagoma , Bavicha wakasema kama ni hivyo hatutakuja , hii ni kwa mujibu wa Twaha Mwaipaya kiongozi wa Bavicha .

Lingine ni hili , kwanini Mkutano wa Rais mwalikaji awe UVCCM ? kwahiyo pia hapa tukagundua kwamba kumbe hili ni kongamano la vijana wa ccm na Mwenyekiti wa Chama chao , hii nimekupa kwa ufupi sana japo yako mengi , baada ya Bavicha kugomea mwaliko wa uvccm, Ambao kimsingi hawana mamlaka ya kuandaa mikutano ya Rais wa nchi popote pale , ndio akatafutwa mamluki Nusrat Hanje
 
Kwanini mnakandamiza haki za binadamu nyie ..huo ndio uhuru wa maoni bwana
Ana uhuru wote, tatizo ni kwamba, yeye siyo mwakilishi wa BAVICHA wala CHADEMA! Amefukuzwa uanachama, alipaswa kusimama pale kuwakilisha kitu kingine chochote, siyo CHADEMA, alafu atumie huo uhuru wa maoni!
 
Back
Top Bottom