Recent content by mkulima mweusi

  1. mkulima mweusi

    Boma la hii ramani litagharimu kiasi gani?

    Sijaona bajeti ya mbao, bajeti ya ufundi tangu chini mpaka kupauwa bajeti ya milango na madilisha pia bajeti mfumo wa maji
  2. mkulima mweusi

    SI KWELI Mama anayenyonyesha akifanya mapenzi anaweza kumdhoofisha (kumbemenda) mtoto

    Tafuta mwanamke anae nyonyesha afu fanya nae mapenzi au mkeo akijifungua mtue tena mimba ili uone ulimwengu wa maajabu
  3. mkulima mweusi

    SI KWELI Maziwa fresh ni tiba sahihi ya tatizo la vidonda vya tumbo

    Mbegu za bangi ndio kiboko yake
  4. mkulima mweusi

    Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

    Tatizo la nchi yangu hii kila mmoja ni msemaji wa serikali. Hili tatizo lipo na kila tunapolizungumzia tunalipa nguvu ya kukuwa kwa kasi mwisho wa siku hata hawa watotozetu watazoea kusikia mwishowe linakuwa jambo la kawaida na ndipo kili mmoja anaanza kushiriki ni kama ukimwi ulivyo kuwa...
  5. mkulima mweusi

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Weka ushahidi sio unalopoka tu na makamasi yako
  6. mkulima mweusi

    Unga wa Gypsum wa kutengenezea chaki

    Mkipigiwa simu hampokei mnanikeraaa kinyama
  7. mkulima mweusi

    Trump atunga Sheria inayotaka kuajiri watumishi wa Umma kwa kigezo cha ujuzi na ufahamu na sio elimu

    Mimi mwenyewe natengeneza chaki za kufundishia mashuleni na ninaziuza nmeanzisha kiwanda changu kidogo but by profession nmesomea Mambo ya kilimo na mifugo nna certificate na Sasa siitaji hizo ajira zenu labda mm niwaajili vijana wenzangu but siajiri wenye elimu But wanaohitaji chaki...
Back
Top Bottom