(Reuters) - Brent prices ended higher on Tuesday after a 5-year low and five straight days of losses and U.S. crude also rose as players sought a sustainable price for oil in a market haunted by oversupply concerns.
Sentiment in oil was aided somewhat by a weaker dollar that boosted the value...
Nilikuwa bado natafakari nchi ya kwenda kutafutia maisha na wengi walinishauri nikajaribu Scandinavia hasa Finland, lakini kwa hali hii, naona maisha huko ni magumu kuliko Bongo, ukishaona vijana wa kibongo wanapeleka siasa za CCM majuu kuna ujumbe mmoja tu unaoweza kuuona; nchi hiyo ni ngumu na...
Bwana James Millya,
Please go back through your facts, as I still remember, Mkuu wa utawala wa UVCCM kipindi cha Guninita alikuwa Comrade Habil Lazaro Londo (RIP). Namkumbuka huyu Comrade kwa sababu alikuwa mwalimu wangu wa siasa jeshini, kabla sijakutana naye tena kwenye siasa akiwa mmoja wa...
FMEs heshima mbele mkuu,
NAdhani unaposema kuwa azimio lilishapitwa na wakati unakosea, kwani hayo maadili ya viongozi unayotaka tuyajadili kama taifa tunaweza kuyaona hapa:
(a) The Leadership
1. Every TANU and Government leader must be either a peasant or a worker, and should in no way be...
Hosea mchezo unaotaka kuucheza ni wa hatari kubwa na gharama yake hatuko tayari kuibeba. Ulilikoroga kwa kuwasafisha Richmond, ni jukumu lako kuwajibika!. Kuwasakama wapinga ufisadi ili ionekane wanalipiza kisasi watakapochadili mapendekezo ya serikali juu ya utekelezaji wa maazimio ya bunge, ni...
Omar Ilyas,
Huna lolote zaidi ya kutafuta shortcurt za kisiasa, siasa haiendi na udini. Kama kuna vilaza wanaoweza kuleta maafa kwa vijana basi wewe ni mmojawao. Naona umeshaanza kudivert issue za ufisadi kwa kutaka kumuhusisha Mengi na Waisrael, ili iweje? nani anakulipa kwa uhalifu huu? ONYO...
Bwana mdogo Omar,
embu kua kidogo, unajidharirisha wewe mwenyewe, famili yako na hata marafiki zako. Madai yako dhidi ya Mengi yanaonyesha shule haijakusaidia kabisa, kwani kimpangilio wa hoja unaonyesha kabisa uwezo wa hao role model wako kuwa walishindwa kazi ya kukufundisha shule. Dogo uko...
Omar ndugu yangu mbona unajiangusha, na unatuangusha ndug zako? yaani umekuwa this low! yaani siwezi kuamini. Sasa naona unataka kupindisha ukweli na kuanza kuleta uislamu dhidi ya ubabe wa Waisrael na USA! Kijana nenda shule, achana na Zitto, yeye mwenyewe ameshapotea na sasa anataka kukupoteza...
Kwani mshahara wake kama mbunge ni kiasi gani. Jaribu kuchukua mshahara wake na marupu rupu pamoja na kiinua mgongo chake, then tuone kama utaweza kutatua taizo moja tu la kijamii ulilolioredhesha hapo juu.
Lakini kinyume cha hapo, ukichukua bilioni 40 za KAGODA na ukaziwekeza kutatua...
Source: Tanzania Daima 10/05/2009
Hivi Zito ni kwanini vita dhidi ya ufisadi anaiendekezea itikadi?. Nani aliyemuambia kuwa chama cha upinzani kunampa tiketi na hatimiliki ya pekee ya kulaani ufisadi? Hivi alivyotaka TANESCO iinunue DOWANS ndio ulikuwa msimamo wa wapinzani? kama sio, yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.