Recent content by mkudeson

  1. mkudeson

    Tumekubaliana tuweke sumu kwenye chakula ili afe!!

    Kuendekeza njaa kuna madhara. Thanx mkuu u made my dei. Ha ha!
  2. mkudeson

    Huyu mwanafunzi anastahili asome darasa gani?

    Apewe PhD ya heshima. Hata mimi kanishinda.
  3. mkudeson

    Average ya 40% v/s average ya50%

    Mkuu umesahau na chuo cha Azania
  4. mkudeson

    Kama mahari yataendelea kuwa hivi, mambo ya ndoa tutasikia kwenye redio tu

    "What goes around comes around". Leo unawamega mabinti wa wenzio kesho jiandae kumegewa binti yako!!!
  5. mkudeson

    PICHA: Hizi ni baadhi ya sababu za wanaume kufa mapema

    Hahaha kwanza nicheke maana unachekesha sana kaka eti unalinganisha kuzaa kwa kawaida na kuzaa kwa operesheni!? Kwanza waulize wanawake wenyewe ni kwa nini wanahonga madaktari ili wafanyiwe operesheni! Chezea kuzaa kwa kawaida wewe!! Pili hata kuzaa kwa kawaida kuna kidonda na kukiuguza mwake...
  6. mkudeson

    PICHA: Hizi ni baadhi ya sababu za wanaume kufa mapema

    Siku hizi wanazaa kwa operesheni. Mwanamke ana watoto kadhaa lakini uchungu wa kuzaa hakuna. Adabu itatoka wapi?
  7. mkudeson

    Watanzania wanaofanya phd ujerumani wanakufa!

    Unafikiri kwa kutumia makalio, nchi za watu utafanya mradi gani? Ndo maana dada zetu mkifika huko mnajiuza kwa sababu uvumilivu hamuna na maisha yenu wa kushindana yatawacost!!!!
  8. mkudeson

    Je wajuaa

    Sisi wa mara 1 kwa siku kadhaa itakuwaje?
  9. mkudeson

    mwanaume suruali!

    Mbona hizo suruali na wao wanazivaa vilevile!!!?
  10. mkudeson

    Ticha kwa fiksi noma

    TICHA: yani elimu siku hizi imeshuka sana na mitihani ya siku hizi imekuwa rahisi sana tofauti na enzi zangu. MWANAFUNZI: kwani wewe ulisoma enzi zipi? TICHA: enzi zile uwanja wa Man Utd ulikuwa ulikuwa unaitwa NEW TRAFORD.
  11. mkudeson

    Uroho mwingine bana!

    malezi ya dotcom hayo. Ingekuwa enzi zile, mgeni angetakiwa akatae vyote!!
  12. mkudeson

    Kuchapia

    we njomba huko kuchapia kunatofautiana kati ya ntu na ntu.
  13. mkudeson

    Unyama unyamani

    hiyo ni mojawapo ya hasara za kukariri!
  14. mkudeson

    Kweli hapa mke hakuna

    please understand that this is just a joke!! nothing in this thread is serious like you need.
Back
Top Bottom