Recent content by Mkoodomi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa bajeti za ndoa njooni hapa

    Safi sana, uneitendea haki sera ya Magu; kubana matumizi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hapa Rais wangu Malinzi sijui umekanusha nini

    Ulichokanusha kimeletwa vilevile officially na TFF
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kagera Sugar wapokonywa pointi 3 na kupewa Simba

    Mmewapa point 3 ili wawe bingwa ila haupati.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kagera Sugar wapokonywa pointi 3 na kupewa Simba

    Manina zenu, hii laana haiwezi kuipa Simba ubingwa. Ligi inaelekea mwishoni halafu nyie mnawapa Simba point za mezani, this is not fair kwakweli. Kweli bingwa wa mwaka huu ataamuliwa na upepo wa uchaguzi wa mwaka huu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nilitonywa kuna mpango wa watu saba kutekwa wakiwamo Mimi na mawaziri watatu...

    Kwakuwa akina Zitto na Kabwe ndo tumewasikia peke yao, hatuna budi kuwaamini. Angekuwa ashakuja waziri wa mambo ya ndani na kusema hadharani kinachoendelea labda tungemwelewa yeye zaidi kuliko akina Zitto. Kwa sasa hivi acha tuamini kauli za upande tuliosikia.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nguvu na Kelele zote za Watanzania Roma Umeshindwa kusema Ukweli?

    Anza wewe kujitoa kujitoa muhanga, au ndo wewe unajitoa nyuma ya keyboard
Back
Top Bottom