Akili tunazo sana sema tu mazingira tuliolelewa nayo sasa mchukue mtoto wa mwaka mmoja aende alkaishi israeli mpaka miaka 40 hivi hawezi kuwa na tabia za kingoni akija tz baada ya miaka 40 stationary sisi hatuna akili uchumi tunazo fursa tunazo lakini tumezikazia tu
LISU yuko mahabusu lakini jumanne au jumatano 15au16 atatolewa bila mashart tutaambiwa serikali haina haja ya ku endelea na kesi. Lisu Au samia 2025 hawawezi kushika urais. Utabiri wangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.