Recent content by Mkombalwiku Orijino

  1. M

    Watangazi bora wa mpira wa miguu Radioni/Tv

    Hapa Songea tunayemtaalamu wetu Juma Mooo wa Selous FM, ndo mkali wetu
  2. M

    Biashara gani zinazoingiza mamilioni kwa muda mfupi?

    Kuna mradi upo songea unahitaji mwekezaji jumla ya pesa inayohitajika ni 9.6m baada ya miezi 8 ya mradi utatengeneza faida ya 6m hivi mtaji wako na faida itakuwa ni 15.6m karibuni.
  3. M

    Vision Loan Fund Tanzania: Nitafurahi nikipata ushuhuda wa baadhi ya watu ambao waliwahi kupata huduma zao

    Vision fund inatambulika ni Microfinance kama sijakosea na wanashirikiana na World vision, ila hawa Vision loan fund Tanzania ni tofauti taarifa zao nje ya facebook hazipatikani tena kwa urahisi
  4. M

    Vision Loan Fund Tanzania: Nitafurahi nikipata ushuhuda wa baadhi ya watu ambao waliwahi kupata huduma zao

    Hii Kampuni inajihusisha na mikopo ya biashara, inafanya pia kazi online Tanzania kupitia huduma yao inaitwa Net Service. Yaani wanakupa mkopo sehemu yoyote Tanzania kupitia simu ya mkononi. Naomba kujua kama kuna yeyote anawafahamu hawa watu Kwa undani na zilipo ofisi zao asante. Nitafurahi...
  5. M

    Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

    Asante nashukuru na wewe umeliona hilo yaani kuna mtu kabisa akilini mwake ameaminishwa unaweka milioni 2 kwenye kilimo cha mahindi unapata mil 30
  6. M

    Fursa kilimo cha mahindi mkoa wa Ruvuma

    Kama huhitaji huduma yetu acha tu kuna ambao wanazitumia huduma zetu wanafika kila siku ofisini kwetu na kutupa kazi zao
  7. M

    Fursa kilimo cha mahindi mkoa wa Ruvuma

    Hizi ni gharama ya uzalishaji kwa eka moja, maana yake ukiwa na ekari 10 gharama haiwezi kubaki vile vile utazidisha kulingana na ukubwa wa shamba lako, umezungumzia habari ya usafirishaji pembejeo hiyo ni ya ekari moja, ukilima zaidi unazidisha pia maana pembejeo za kusafirisha zinakuwa nyingi...
  8. M

    Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

    Usiamini kila andiko humu ndani ukadhani ni ukweli huwezi kuwekeza milioni mbili kwenye kilimo biashara cha mahindi utegemee milioni 30. Milioni mbili mbili haiwezi kulima zaidi ya ekari 4 endapo kama nguvu kazi ukafanya mwenyewe.
  9. M

    Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

    Sijayaelewa maelezo yako, jaribu kupangilia tena hoja yako maana nashindwa kupata muunganiko wa hoja hadi unasema hamna faida
  10. M

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Mtu wa mkoa wowote anahudumiwa ila kazi yake ifanyike ndani ya mkoa wa Ruvuma -Songea kwa wale ambao hawapo Songea na hawana mashamba tunawawezesha kupata mashamba ya kukodi au kununua.
  11. M

    Fursa kilimo cha mahindi mkoa wa Ruvuma

    Hii hapa gharama ya uzalishaji kwa eka moja
Back
Top Bottom