Recent content by Mkomawatu

  1. Mkomawatu

    TANZIA Prof. Bakari Lembariti wa Chuo cha Muhimbili (MUHAS) afariki Dunia

    Naam ni moja ya Waislamu wachache waliofika ngazi kubwa ya elimu na uongozi katika vyuo vikuu nchini. INNALILLAH WAINNAILLAH RAJIUUN.
  2. Mkomawatu

    CUF yazindua Kongamano la kudai Katiba mpya, yataka maoni ya wananchi kuheshimiwa

    Naunga mkono agenda yao ya kudai Katiba mpya na Time huru ya uchaguzi.
  3. Mkomawatu

    TANZIA Mama Mzazi wa MC Pilipili afariki Dunia kwa ajali

    Pole sana MC Pilipili na wafiwa wote.
  4. Mkomawatu

    Ukerewe: Kisiwa cha kipekee kilichopo jijini Mwanza nchini Tanzania

    Ni kisiwa kizuri sana.nilibahatika kuishi na kufanya kazi kama Mwalimu pale sekondari ya Nansio.nakumbuka mitaa kadhaa kama Nkilizya, Council, Uwanja wa Mongella, Ukuta mmoja, Monarchy beach, Solo mjinga n.k.Siku moja nitarudi tens kutembea Ukerewe.
  5. Mkomawatu

    Mdahalo wa wazi ulioandaliwa na UDASA kuadhimisha miaka 58 ya Uhuru tarehe 09.12. 2019

    Shukrani sana Dr., Inshaallah tutakuwa pamoja hapo kiungani.
  6. Mkomawatu

    Maajabu ya Gereza la Ngwala Nchini Tanzania.Wafungwa wanaaachwa Huru na Wanagoma Kutoroka

    Hakuna binadam aliyeamua kuutaka Uhuru dhidi ya mateso halafu ahofie kugingwa na nyoka au kuliwa na Simba.
  7. Mkomawatu

    Rais Kikwete alimtuma Membe kwa Mwalimu Nyerere, Sehemu ya Pili (2)

    Uraia pacha hautakataliwa kila siku. Wakati umefika kufanya maamuzi sahihi kulingana na mabadiliko ya siasa, uchumi na kijamii zinazotamalaki ulimwenguni kwa sasa.
  8. Mkomawatu

    TANZIA: Mwanasiasa mkongwe na Mwanzilishi wa CUF, James Mapalala afariki dunia

    Upumzike kwa amani mzee Mapalala dunia ya wapenda mageuzi itakukumbuka daima.
  9. Mkomawatu

    Hatari mnayokabiliana nayo kwenye hizi Nyumba Zenu ni Kubwa sana

    Ahahah duh Wallah no mtihani sana!!
  10. Mkomawatu

    Wenye madeni makubwa na hatujui tutayamalizaje tuliwazane hapa

    Kiukweli madeni yanatesa mno, ila hatuna budi kukubali hii hali inapotokea na kujipanga upya.Jambo la muhimu ni kuwaeleza wanaokudai sababu za kuchelewesha kuwalipa na mkakati wa kurejesha pesa.Kikubwa kuzidi kumuomba Mungu kwa kufanya ibada sana.
Back
Top Bottom