Recent content by mkomanzila

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za uhamiaji zapelekwa JKT

    na ww nenda uko utapata tu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano kupinga ripoti ya tume ya Uhamiaji

    yetu macho!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada, kuhusu JKT

    ila mda wowote anaweza kuhitajika c kwamba ndio imetoka anarudi ni kwavile mkataba umekwisha ila michakato ya kutaftiwa ajira upo palepale
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada, kuhusu JKT

    yap kk inawezekana kabisa labda uongezew mkataba
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za uhamiaji zapelekwa JKT

    ndio ishakua kaka
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za uhamiaji zapelekwa JKT

    welcom jkt
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za uhamiaji zapelekwa JKT

    ndugu una uhakika na ulichokiandika?tuliza jazba kaka
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano kupinga ripoti ya tume ya Uhamiaji

    Hamjaajiliwa mnaandamana je wakiwaajir mtakuwa waadilifu kweli kuaandamana c suluhisho tafteni mbadala mtavunjwa viono mkose ata ajira taasisi nyingine za usalama
  9. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano kupinga ripoti ya tume ya Uhamiaji

    Hamjaajiliwa mnaandamana je wakiwaajir mtakuwa waadilifu kweli yani maandamano c suluhisho tafteni mbadala mtavunjwa viono mkose ata ajira taasisi nyingine za usalama
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ajira JWTZ kwa wahitimu kidato cha nne ni lini?

    Niandikeje
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ajira JWTZ kwa wahitimu kidato cha nne ni lini?

    dogo acha ubishi kawaulize watakwambia na c kila anaenda gurd lazima awe na slaa wanaingia gurd kama kawaida
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ajira JWTZ kwa wahitimu kidato cha nne ni lini?

    ata ukiwa afsa jeshin utumwa na kulinda ni lazima kwa kila askar ukishindwa ayo hufai kuwa askar uku hakuna bata kama unavyofikiria
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ajira JWTZ kwa wahitimu kidato cha nne ni lini?

    kama ulidanganywa jeshi ni elimu imekula kwako uku ni kazi za kibeto tu elim kapuni dogo njoo uku mpak darasa la saba wapo iyo elim yako inatosha kabisa kukusaidia kufuata maelekezo
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ajira JWTZ kwa wahitimu elimu ya juu lini?

    Yap hop mleta mada na ndugu mnaolitaka jwt hali ndio kama iyo kama unaamua kwenda kwa dhat jkt hali halisi ndio iyo
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ajira JWTZ kwa wahitimu elimu ya juu lini?

    fight uje kiumeni kwanza jkt tulijenge thn jwt baadae ukishamaliza kulitumikia taifa. karibu sana kk tuilinde nchi yetu
Back
Top Bottom